Bei za Vyakula

Wazabanga kuku

JF-Expert Member
Dec 13, 2016
264
378
Hapa kitaa kwetu Nyamalango vyakula baadhi ya maduka na magenge bei ni juu
Nyanya Moja ndogo 200-300
Unga Dona 1300
Sembe 1500-1600
Mchele 1900-2200
Sugar 2400
Mafuta Lita Moja (Korie) 3500
Mafuta Lita Moja (Alizeti) 4500
Karoti ndogooooo 200
Mboga za majani 300
Maharage yaliyopikwa kikombe cha robo 500
Maharage makavu 2000

Vipi hapo kitaani kwenu Hali ikoje
 
Vijana ambo ni nguvu kazi ambayo ingetumika katika shughuli za uzalishaji wako stendi za mabasi na daladala wanapiga debe. akishuka mtu mmoja anfuatwa na kundi la wapigadebe zaidi ya watano wakati yeye anajua anakoelekea.

Sababu nyingine ni kwamba kuchoma mkaa kumesababisha uharibifu wa mazingira na mpaka sasa mvua hazitoshi hivyo kusababisha upungufu wa chakula ukilinganisha na wahitaji. Serikali ipunguze bei ya gesi la sivyo twafaaa.

Kiujumla wenye miaka 60+ ndiyo wangekaa kwenye maduka kuuza na vijana wangeenda kwenye kazi za kutumia nguvu.
 
Back
Top Bottom