Naomba mwongozo kuhusu VAT Refund ya South Africa

leipzig

JF-Expert Member
Jan 9, 2013
2,766
1,707
Kwa anayefahamu baada ya kufanya claim ya VAT South Africa(SARS) malipo yanakuwa katika cheque au vipi?

Na ni benki zipi za TZ zinazo process malipo baada ya kupokea cheque au any payment advisory?

Natanguliza shukrani
 
Back
Top Bottom