kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,428
- 13,936
Mishahara ya watumishi imeshuka ghafla baada ya bei ya unga kufikia sh 2000, ile ya maharagwe kufikia sh 3200 kwa kilo na kodi ya mapato kubakia palepale. Kwa vyovyote vile mishahara haitafurukuta. Hii itazifanya huduma kwa wateja pia zishuke sambamba na kushuka kwa mshahara wa mtumishi.
Nini kifanyike ili mtumishi kumundu nauli, chakula na mahaitaji mengine?
Nini kifanyike ili mtumishi kumundu nauli, chakula na mahaitaji mengine?