Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Habari zenu ndugu zangu, Nadhani humu tuna wataalam wengi tu wakiwemo watu wa TRA, kuna duka nataka kufungua la jumla na rejareja, sasa kwa wale wanaojua gharama za kupata leseni na mlolongo wake...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wakuu sina kitambulisho cha mpiga kura nitufunguaje a/c equity bank?
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Geologist Abdul ambaye kafanya kazi Migodi ya ACACIA, Bulyanhulu, North Mara ambaye kwa sasa yuko Afrika ya Kusini kama mtaalamu wa makampuni ya huko aliulizwa maswali kuhusu ukweli wa hii sakata...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za kazi wana JamiiForums, Naomba msaada wenu ni eneo gani ambapo wanauza vifaa vya kuvulia samaki kama fishing twine, fishing nets katika mji wa Guangzhou China, ningependa kujua exactly...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
UTENGENEZAJI WA MISHUMAA YA KUUA MBU MALIGHAFI 1.PARAFFIN WAX 2.STERINE 3.BORIC ASID 4.MOULD(MAUMBO) 5.UZI (UTAMBI) 6.RANGI KAMA UKIPENDA 7.JIKO 8.SUFURIA MAANDALIZI andaa maumbo ya mshumaa kwa...
1 Reactions
4 Replies
7K Views
Can you be too stupid to trade and the answer is obviously yes. If you are defeated by how your toaster works then trading is not for you, nor is anything else probably. However, my observation...
0 Reactions
0 Replies
512 Views
Kenya budget focuses on developmentKenya's Finance minister Uhuru KenyattaBy Citizen Correspondent, Nairobi Kenya's Finance minister Uhuru Kenyatta yesterday proposes wide ranging measures that...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Nafikiria kuanzisha fresh food, naomba anayeijua hii biashara anipe mchanganuo, Mtaji, faida na changamoto zake
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari za humu? Ninaombeni kuuliza kwa mwenye uzoefu na kuagiza vitu kutoka Ulaya au Marekani: hivi kwa sasa kodi ni kiasi gani mfano nikiagiza camera? Na je ni kweli kwamba siku hizi hata ukija...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nilikuwa na mzigo pale DHL lakini tumefuatilia mpaka tumeona bora tuuache wachukue wao. Je kuna wadau wengine mmekutana na usumbufu mkubwa namna hii pale DHL Dar?
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari wakuu, Naomba juzwa hilo swala langu hapo juu pia sehemu zipi hasa naweza kupata faida kubwa? A Ushuani B Uswahilini Please nijibuni nipo katika kuaandaa wazo na kulitekeleza soon.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Natafuta partinership na mtu au kampuni. Eneo lipo Serengeti kilomita 5 karibu na mbuga za wanyama za Serengeti ukubwa heka 35, limechimbwa bwawa la maji na pia mbembeni kuna shughuli za uchimbaji...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kampuni ya Genius notes board advertise inatangaza tenda za lufanya kazi zifuatazo mtu mwenye stetionary anaitajika jijini mwanza kwa ajiri ya kusaidia katiaka shuguli za ku print ku photocopy na...
0 Reactions
0 Replies
887 Views
Waheshimiwa mambo vipi? Naomba kujua gharama za frem na jinsi biashara ilivyo Tanga mjini nataka kufungua mgahawa mkubwa.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hello wanajamvi.. ni siku nyingine tena tupo pamoja.. Kwanza vipi khali zenu? Naomben kuuliza haya.. Hivi kuanzisha kiwanda cha kufyetua matofali ni vitu gani vinahitajika?.., Je usajili...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wanajamii forum, Nimekuwa nafuatilia kwa ukaribu sana hizi hisa za CRDB tokea mwaka 2016 mwezi wa 7 naona hazipandi ila zinazidi kushuka sana.Kwa mfano ukiangalia report ya mauzo ya...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Miaka inakwenda siku zinapita , Maisha yana zidi kuwa magumu kisa yaweza kuwa mambo mengine lakini kwa kuwa tuliwekeza kwenye kupanda mbegu DECI miaka ya 2007,2008,na 2009 nalaani kuwa walioizuia...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Wakuu kwa mwenye uelewa na experience ya kufanya business na Alibaba sellers aweze kutoa msaada jinsi ya ku trade nao maana inaonekana wana cheap products ila nyingi wanauza kwa jumla je vp...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari ya Jumapili wadau, Mimi kijana wa miaka 25 ndo kwanza nimeanza maisha ya kujitegemea kuna kazi naifanya ambayo kwa mwenzi huwa inaniingizia kipato cha laki tatu(300000). Sasa nilikuwa...
1 Reactions
35 Replies
11K Views
Back
Top Bottom