Je, Selcom inalipa?

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Aug 1, 2014
3,320
4,604
Habari wakuu,

Naomba juzwa hilo swala langu hapo juu pia sehemu zipi hasa naweza kupata faida kubwa?
A Ushuani
B Uswahilini

Please nijibuni nipo katika kuaandaa wazo na kulitekeleza soon.
 
sizani kama kuna mtu atakusaidia....swali lako halijaeleweka...ebu turudi darasani si unakumbuka kuandika insha {essay, short notes} ulichotakiwa hapo ni kuelezea aina ya kitu unachotaka kwenye aya ya kwanza kisha ndipo uulize ulichokuwa unataka kusaidiwa....rekebisha mkuu ili ata mimi nijue jinsi ya kukusaidia
 
Hailipi kiviiiile unatakiwa uwe na biashara nyingi, halafu wakati mwingine mtandao unazingua kiasi kwamba unaweza ukagombana na wateja wako, unagombanaje na wateja mtandao ukizingua? Jibu ni Mteja amekuja kununua Umeme mfano wa elf 20 hapo pesa inakatwa na Umeme hupewi wala meseji yeyote hutumiwi kuambiwa mtandao unasumbua hapo hapo Mteja atataka umrudishie pesa zake aondoke akafanye ustaarabu mwingine, ukimrudishia hapo wewe utakuwa umeingia hasara ya elf 20 kwa sababu hata ukitumiwa huo Umeme utaupeleka wapi na Mteja kashaondoka na humfahamu,
 
Naona umemuelewa msaidie tu mkuu
 
sizani kama kuna mtu atakusaidia....swali lako halijaeleweka...ebu turudi darasani si unakumbuka kuandika insha {essay, short notes} ulichotakiwa hapo ni kuelezea aina ya kitu unachotaka kwenye aya ya kwanza kisha ndipo uulize ulichokuwa unataka kusaidiwa....rekebisha mkuu ili ata mimi nijue jinsi ya kukusaidia
mkuu usitake kujua sana mbn mwenzako kajibu swali nilouliza na kalielewa.

ndo nyie mnakuwa kama mzee kiwalaza wa magogoni
 
Hailipi kiviiiile unatakiwa uwe na biashara nyingi, halafu wakati mwingine mtandao unazingua kiasi kwamba unaweza ukagombana na wateja wako, unagombanaje na wateja mtandao ukizingua? Jibu ni Mteja amekuja kununua Umeme mfano wa elf 20 hapo pesa inakatwa na Umeme hupewi wala meseji yeyote hutumiwi kuambiwa mtandao unasumbua hapo hapo Mteja atataka umrudishie pesa zake aondoke akafanye ustaarabu mwingine, ukimrudishia hapo wewe utakuwa umeingia hasara ya elf 20 kwa sababu hata ukitumiwa huo Umeme utaupeleka wapi na Mteja kashaondoka na humfahamu,
sa mi nna mpango niwe na hcho kitu na tigo rusha end of the day per month nipate angalau kamisheni laki 2.5 kwa kujumlisha tigo rusha nd selcom.

coz nimesoma percentage luku ni 2.5 nd vocha tigo rusha ni 6 so hapa nazan kutemea na mji wa dar naweza nkatusua.

but anyway mibntajitosa kaka.
 
Jitose tu mkuu lakini ukweli ndio huo, Ila nakushauri uweke na biashara nyingine kipato kiwe kingi zaidi
 
Back
Top Bottom