ommyjr
Member
- Sep 23, 2015
- 85
- 85
Wakuu kwa mwenye uelewa na experience ya kufanya business na Alibaba sellers aweze kutoa msaada jinsi ya ku trade nao maana inaonekana wana cheap products ila nyingi wanauza kwa jumla je vp kuhusu zile ambazo hata kwa reja reja ? Na gharama zao kwa shipping zipo vp ?