Kodi airport ni kiasi gani kwa sasa kwa bidhaa za nje?

TheBoyMe

New Member
Mar 12, 2017
3
0
Habari za humu?

Ninaombeni kuuliza kwa mwenye uzoefu na kuagiza vitu kutoka Ulaya au Marekani: hivi kwa sasa kodi ni kiasi gani mfano nikiagiza camera?

Na je ni kweli kwamba siku hizi hata ukija na kitu kipya kutoka nje hata kama ni kwa matumizi binafsi lazima wakulipishe kodi airport?

Mawazo yenu yanathaminiwa.
 
Back
Top Bottom