Nafasi za tenda mwanza

Ukback255

Senior Member
Aug 31, 2016
174
278
Kampuni ya Genius notes board advertise inatangaza tenda za lufanya kazi zifuatazo

mtu mwenye stetionary anaitajika jijini mwanza kwa ajiri ya kusaidia katiaka shuguli za ku print ku photocopy na graphic design
photocopying
graphic design
printing and
typing

ambaye yupo jijini mwanza tuwasiliane kwa masage katka simu hii 0745826728

kuna kazi nyingine pia nyingi za kufanya asante tuwasiliane tuone nani ana gharama za chini zaidi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom