Mauzo soko ya hisa Dar es Salaam yashuka kutoka bilioni 32 hadi billion 3.3

gasto genaro

JF-Expert Member
Oct 15, 2014
780
554
8a22b5f095e3d02eaa90e7903c775032.jpg
 
Nilitaka kununua hisa za Vodacom, nikasikia mtaani kuwa kuna agizo kutoka mbinguni kuwa TTCL ndio chaguo la lazima.

Nikasema si mbaya, acha ninunue hisa za Twiga Cement...loh, huko ndio balaa. Nikasikia mitaani kuwa mshindani wake anaandaliwa mgodi na bomba la gesi ili auze saruji kwa 7000, kwa maana hy saruji yetu ya Twiga ipo mashaka ni

Si ndio nikakumbuka chama kubwa CRDB, ilibaki kidogo ninunie hisa ndio nikaona kwenye taarifa ya habari kuwa ya kwetu ni NMB na maelekezo yalishatoka kuwa njuruku zihifadhiwe huko na si kwingineko.

Soko la hisa limeanguka kwa kuwa sijanunua hisa.
 
Lazima lianguke..maana pesa za anasa hakuna tena..litaanza kuinuka likiwa na pesa safi
hivi umesoma kuhusu capital markets na securities exchange??? au ndio mnakakririshwa tu kuwa wapiga dili ndio waliokuwa wanaendesha stock exchange ya dar!!

lowasa was ryt kuprioritise elimu sikumuelewa sana kwanni aanze na elimu na sio viwanda ila ssa nmemuelewa
 
Back
Top Bottom