Msaada wa fishing nets market place in Guangzhou China

zed123

Member
Oct 16, 2016
88
66
Habari za kazi wana JamiiForums,

Naomba msaada wenu ni eneo gani ambapo wanauza vifaa vya kuvulia samaki kama fishing twine, fishing nets katika mji wa Guangzhou China, ningependa kujua exactly location, please kwa anaejua anisaidie.
 
Habari za kazi wanajamii forums ,naomba msaada wenu in eneo gan ambapo wanauza vifaa vya kuvulia samaki kama fishing twine,fishing nets katika mji Wa Guangzhou China,ningependa kujua exactly location,please kwa anaejua anisaidie,
Kama upo china soma mabango barabarani
Habari za kazi wana JamiiForums,

Naomba msaada wenu ni eneo gani ambapo wanauza vifaa vya kuvulia samaki kama fishing twine, fishing nets katika mji wa Guangzhou China, ningependa kujua exactly location, please kwa anaejua anisaidie.
Kama upo china soma mabango mitaani kama upo bongo basi nenda china utakuta mabango yanayoelekeza
 
Back
Top Bottom