Hello wanajamvi.. ni siku nyingine tena tupo pamoja..
Kwanza vipi khali zenu?
Naomben kuuliza haya..
Hivi kuanzisha kiwanda cha kufyetua matofali ni vitu gani vinahitajika?..,
Je usajili unahitajika?
Na kama usajili unahitajika.. process zipoje?. Na ni document gan wanazohitaj ili kuweza kusajili. Na je wanahitaj mtu awe na elimu gani?. Asanteni.