Nina hekari 35, natafuta Mbia wa kufanya kufanya utafiti wa madini

Mjita2000

New Member
Mar 30, 2017
1
0
Natafuta partinership na mtu au kampuni.
Eneo lipo Serengeti kilomita 5 karibu na mbuga za wanyama
za Serengeti ukubwa heka 35, limechimbwa bwawa la maji na pia mbembeni kuna shughuli za uchimbaji madini ya dhahabu yawezekana pia eneo langu likawa na madini.

Kwa maelezo ya ziada
Contact 0653 797858 au 0785 422543
 
Uunajua kuwa umekodishiwa ardhi lakini siyo madini? Madini yakipatikana hapo, ni mali ya umma na wewe utaondoshwa.

Fidia hapo haitahusu madini yaliyomo bali banda lako la nyasi na michungwa iliyopo kwenye shamba lako.
 
Tizama kwanza kama eneo lako halina makinia vinginevyo utaleta balaa kwenu
 
Nenda South Afrika kuna makampuni mengi madogo na ya kati. Mna wekeana mkataba wa kufanya utafiti na uchimbaji.
 
Back
Top Bottom