Nenda Halmashauri ya eneo ulilopoHabari zenu ndugu zangu,
Nadhani humu tuna wataalam wengi tu wakiwemo watu wa TRA , kuna duka nataka kufungua la jumla na rejareja , sasa kwa wale wanaojua gharama za kupata leseni na mlolongo wake ulivyo tujuzane hapa.
By
Young
Dimaa.