Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Naombeni ushauri jamani, napokea laki sita take home, niweke akiba kiasi gani kwa mwezi?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
1 USD =103.350KES US Dollar1 USD = 103.350 KES ↔ Kenyan Shilling1 KES = 0.00967588 USD 1 USD =825.723RWF US Dollar1 USD = 825.723 RWF ↔ Rwandan Franc1 RWF = 0.00121106 USD 1 USD =1,706.43BIF...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wana JF! Ninataka kununua basi kubwa la abiria 41 kwa ajili ya usafiri wa daladala hapa dar kutoka kampuni ya eicher. Naomba kujulishwa namna ya kupata TLB kwa sasa, je kuna usumbufu...
0 Reactions
9 Replies
6K Views
hii ni kwa wanawake na wadada wa jf nina jambo nataka kuwashirikisha hasa wanawake wa jf kama watapenda kuwa tayari katika kujisajiri katika group la women issues basi wasisite kujitokeza na...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
NAJIHAMI NAHITAJI MSAADA/MAWAZO SIO KEJELI NILIAGIZA MZIGO TOKA CHINA NA KUSAFIRISHA KWA UPS NA UMEFIKA NA KUGOMEA BANDARINI/TRA.ULITAKIWA UFIKE MOROGORO LEO TAREHE 11/04/2017 NIMEPOKEA SIMU...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nimekuwa katika vibati viwili tu kwa maisha yangu, niliviacha haraka sana.Sijui nilikuwa kwa vibati sio au ila tokea hapo nimeacha kabisa kucheza vibati. Vibati vina faida sikatai ila kuna hasara...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari wana jF, Mimi ni kijana baada ya kukaa sana mtaani bila kazi ya kueleweka japokuwa nina kijielimu kangu kutoka college moja hapa mjini nimeamua kuja na wazo langu la biashara kwa ajili ya...
14 Reactions
79 Replies
12K Views
Wadau naomba kuwasilisha ufafanuzi juu ya suala la mchanga wa dhahabu (makinikia). Tunaweza kujifunza kitu hapa. Bonyeza link hii kupata You Tube video...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Huwa nafanya kazi za consultancy na Lutheran Investment Company (LUICO)~ Arusha. Kuna tender wamepata Dsm ya kusupply 90 tones of maize monthly.
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Katika hali isiyo ya kawaida tangu mwezi huu wa nne uanze bei ya sukari imepanda ghafla kwa taarifa za kwamba sukari haipatikani. Katika hali ya kushangaza siku ya jumapili nimenunua sukari bei...
1 Reactions
1 Replies
847 Views
Habari zenu kwa ujumla, Shida yangu ni kujua bei ya dhahabu, nina pete ya dhahabu gram moja, inauzwaje kwa Sonara?
1 Reactions
6 Replies
18K Views
Meneja wa SIDO Mkoa wa Mtwara, ndugu Joel Chidabwa akiwatunukia vyeti wahitimu wa mafunzo ya ujasiriamali na matumizi ya vipodozi kwa wanawake wa mkoa wa Mtwara. Ndg. Chidabwa alifunga rasmi...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Nimeshangaa sana nilivoenda TRA kupata leseni ya biashara nikaambiwa lazima nilipie kwanza Mashine ya EFD ndiyo nipate leseni!! NAAMINI katika kulipa kodi lakini huu utaratibu siyo mzuri kwani...
2 Reactions
17 Replies
4K Views
Habari zenu wana JF. Nina eneo jirani kabisa na vyuo na hapo kunahuhitaji mkubwa wa vyumba vya kulala. Nina ndoto za kujenga hostel yenye uwezo wa kurudisha pesa haraka lakini changamoto...
1 Reactions
32 Replies
30K Views
Hakuma Jambo linakera Kama Mtu afanye Ujinga Kwnye Technologia . ulishawahi nunua App Kutoka Store yeyote halafu Unakuta ni Fake. Basi mm najihisi nimepakua Application Fake kutoka Vodacom...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
GOLD (XAUUSD) Dominant Bias: Bullish Gold is now a bull market, which is supposed to continue for some time. The bullish trend that has started on Gold since the beginning of this year came...
0 Reactions
2 Replies
858 Views
Heshima kwenu wakuu. Natumai mnaendelea vyema kabisa. Bila ya kupoteza muda nimeskia tu juu juu kuhusu hii biashara nikasema ngoja nije hapa Home of Great Thinkers siwezi kukosa maelezo ya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bearish In the context of a downtrend, this pair moved sideways from Monday till Friday, trending south on Friday. Price closed...
0 Reactions
0 Replies
357 Views
Wakuu, nikiwa mmojawapo kati ya wale wanaojihusisha na XBINARY kwa siku za karibuni imekuwa ngumu kutoa hela M-wallet. Na hii imetokea baada ya kuwa kwenye matengenezo ila hali hii imeendelea...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Habari za muda huu wana JF, Mimi ni mwalimu wa shule za msingi, nimefanya kazi hii takribani miaka 7 sasa tangu 2009 hadi sasa. Pamoja na juhudi kubwa sana za kusaidia kizazi cha watanzania bado...
4 Reactions
32 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…