Women issues [maalum kwa wanawake wa JF]

ladyfurahia

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Messages
13,899
Likes
1,379
Points
280
ladyfurahia

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined May 10, 2011
13,899 1,379 280

hii ni kwa wanawake na wadada wa jf

nina jambo nataka kuwashirikisha hasa wanawake wa jf kama watapenda kuwa tayari katika kujisajiri katika group la women issues basi wasisite kujitokeza na kujisajiri

nimpenda kuwashirikisha mambo kadhaa ya kufanya kama wanawake kabla hatujamaliza mwaka huu,
kwani wanawake ndo msingi na nguzo ya familia na vilevile wanawake tunaweza tukipewa naafasi katika ngazi mbalimbali.

issue ya 1. Kuanzisha kitu au biashara kuwa wajasiliamali wa jf
ambayo tutaweza kutuinua na kutufanya tusiwe tegemezi kwa wanaume kuwa na mapendekezo au mchango wa maoni , ushauri, ni kitu gani tuanzishe ili tuwe. Kwa hiyo mwanamke wa jf changamkia tenda hii toa maoni , ushauri wako

issue 2: Kuwa na chombo cha wanawake wa jf
ambacho kitatetea maslahi ya wanawake hususani katika ukandamizaji juu ya mfumo dume uliopo na kuwainua wanawake ambao hawajiwezi km vile; walemavu, wenye matatizo ya uzazi, magonjwa ya kufisha na wanawake walioko vijijiini n.k, kuwatembelea na kujua matatizo yao na kuweza kuwasaidia kwa namna moja ama nyingine.

isuue 3: Utamaduni na desturi za mwanamke wa kitanzania ziweje
hii itahusika na maadili ya mwanamke wa kitanzania aweje na mambo mengine ya kitamaduni
mavazi, maisha kwa ujumla

issue 4: Mambo ya burudani
yaani tuwe na studio yetu wenyewe ambayo tutaimiliki na tuwe na na vitu ambavyo tutafanya vya burudani ili kutunisha mfuko wetu wa women issue.

issue 5: Mambo ya kitabibu na kisaikolojia zaidi,
tuwe na watu waliosomea mambo ya cancelling, ushauri na mambo ya kitabibu tuwapo katika
vikao vyetu ama makongamano yetu ambayo tutawaita wataalamu na kutufundisha zaidi
maisha ya uzzazi wa mpango na mambo ya ndoa na maisha kwa ujumla.

issue 6: Tuwe na mambo ya ujasiliamali
mwanamke ni nguzo ya familia hivyo hana budi kuwa mchapakazi ili kuinua uchumi wa familia
yake.

kama kuna mambo mengine ambayo sijayaoroddhesha hapa basi wewe mwanamke wa jf naomba ushirikiano wako na mchango wako wa ushauri namna gani tufanye ili tuweze kuwa kitu kimoja ndani ya jf hii na ili tuweze kutambuana na kuinuana kama wanawake wa jf, ili ni jambo jema tena la busara kuwa pamoja kwa umoja na kufanya jambo au kitu kwa pamoja ni jukwaa la wanawake wa jf. Basi usisite kutwanga hapa mtazamo wako tufanye nini ili tuinuane wanawake wa jf.
Sikakatai ushauri, maoni, mapendekezo, au jambo lolote liwe jema au baya we twanga tu tutasaidiana na kama mnataka lilni tuanzishe kitu hiki basi msisite kusema hapa.
Natumia tuko pamoja

slogan: 'tutajenga women issue kwa umoja na upendo'
 
Catherine

Catherine

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2012
Messages
1,263
Likes
5
Points
0
Catherine

Catherine

JF-Expert Member
Joined Jun 30, 2012
1,263 5 0
wanawake kuanzia miaka mingapi? au hakuna limitation ya umri. good idea.
 
King'asti

King'asti

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2009
Messages
27,653
Likes
2,710
Points
280
King'asti

King'asti

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2009
27,653 2,710 280
Hiyo namba tatu! Mmh.
Hongera kwa wazo zuri. Unamaanisha huo umoja wa humu humu jf nyuma ya key board ama mbele zake?
 
sweetlady

sweetlady

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2010
Messages
16,979
Likes
96
Points
145
sweetlady

sweetlady

JF-Expert Member
Joined Dec 24, 2010
16,979 96 145
wanawake kuanzia miaka mingapi? au hakuna limitation ya umri. good idea.
Kuanzia 18 yrs Catherine, ila wazee kama King'asti hapana!Mleta mada mie bado nakusoma manake kama vile sijakupata vizuri, labda kwa vile nimesoma kwa haraka, nkitulia ntasoma tena then ntakuja kusema chochote!
 
Last edited by a moderator:
King'asti

King'asti

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2009
Messages
27,653
Likes
2,710
Points
280
King'asti

King'asti

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2009
27,653 2,710 280
Wanasema mkataa wengi mchawi ila seriously hizi makitu za umoja wa wanawake huwa sioni umuhimu wake kiviile. Kule fb nina magurupu kama mia, hata siyaelewi. Sijui tumeet, mara kusutana, mara kusaidiana. Sasa mie nikianza kuomba wanichangie ninunue nyumba upanga kwa milioni 210 si wataniona nawa-natalia?

Kweli, im too old for these umojas. Mie niwatafute wabibi wenzangu kina Kongosho na AshaDii tuone jinsi ya kuchakachua mirathi Paw akidead nisiumbuke.

Billie

Billie

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2011
Messages
7,344
Likes
5,625
Points
280
Billie

Billie

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2011
7,344 5,625 280
Wanasema mkataa wengi mchawi ila seriously hizi makitu za umoja wa wanawake huwa sioni umuhimu wake kiviile. Kule fb nina magurupu kama mia, hata siyaelewi. Sijui tumeet, mara kusutana, mara kusaidiana. Sasa mie nikianza kuomba wanichangie ninunue nyumba upanga kwa milioni 210 si wataniona nawa-natalia?

Kweli, im too old for these umojas. Mie niwatafute wabibi wenzangu kina Kongosho na AshaDii tuone jinsi ya kuchakachua mirathi Paw akidead nisiumbuke.
waoo kumbe Kongosho ni bibi? usiniambie.
 
Last edited by a moderator:
King'asti

King'asti

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2009
Messages
27,653
Likes
2,710
Points
280
King'asti

King'asti

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2009
27,653 2,710 280
Ulikuwa na mpango wa kumtokea? Mekula kwako, bit she is a virgin. Changamka.banaa.
waoo kumbe Kongosho ni bibi? usiniambie.
 
Last edited by a moderator:
TANMO

TANMO

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2008
Messages
8,957
Likes
335
Points
180
TANMO

TANMO

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2008
8,957 335 180
Hivi vyombo vya wanawake mbona sijawahi ona vikimsaidia kwa lolote bibi yangu na wanawake wenzake kule kijijini?
Sorry kumbe ni kwa wamama tu!!! Bye..........:car:
 
Kivumah

Kivumah

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2008
Messages
2,418
Likes
66
Points
145
Kivumah

Kivumah

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2008
2,418 66 145
:coffee:......................:ranger:
 
Tripo9

Tripo9

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2009
Messages
2,263
Likes
169
Points
160
Tripo9

Tripo9

JF-Expert Member
Joined Sep 9, 2009
2,263 169 160
Post imedoda. Kwa sababu hujaongelea watu kwenda kupigwa miti. Au hujazungumzia kitchen party. Sorry for a harsh comment lkn wanawake kwa ujumla lazima muje na mawazo kama haya. Oooops sorry, am a man
 
moto2012

moto2012

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2012
Messages
2,235
Likes
403
Points
180
moto2012

moto2012

JF-Expert Member
Joined Jul 3, 2012
2,235 403 180
Post imedoda. Kwa sababu hujaongelea watu kwenda kupigwa miti. Au hujazungumzia kitchen party. Sorry for a harsh comment lkn wanawake kwa ujumla lazima muje na mawazo kama haya. Oooops sorry, am a man
khaaaaaah! we umechafua hali ya hewa!!
 
M

MKALIKENYA

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Messages
1,197
Likes
9
Points
133
M

MKALIKENYA

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2012
1,197 9 133
Mke wangu sitaki kabisa mzoeane naye nyie walanguzi wa wake za watu kwa teknologia ya digitari.
 
BADILI TABIA

BADILI TABIA

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2011
Messages
30,997
Likes
6,428
Points
280
BADILI TABIA

BADILI TABIA

JF-Expert Member
Joined Jun 13, 2011
30,997 6,428 280
kuna dalili za kuchangishana hapa.....
 
ladyfurahia

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Messages
13,899
Likes
1,379
Points
280
ladyfurahia

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined May 10, 2011
13,899 1,379 280
ni kuanzia miaka 18 na kuendelea yaani mpaka miaka 90 kama yuko mwanamke kama huyo

hii ni kwa wanawake na wadada wa jf

nina jambo nataka kuwashirikisha hasa wanawake wa jf kama watapenda kuwa tayari katika kujisajiri katika group la women issues basi wasisite kujitokeza na kujisajiri

nimpenda kuwashirikisha mambo kadhaa ya kufanya kama wanawake kabla hatujamaliza mwaka huu,
kwani wanawake ndo msingi na nguzo ya familia na vilevile wanawake tunaweza tukipewa naafasi katika ngazi mbalimbali.

issue ya 1. Kuanzisha kitu au biashara kuwa wajasiliamali wa jf
ambayo tutaweza kutuinua na kutufanya tusiwe tegemezi kwa wanaume kuwa na mapendekezo au mchango wa maoni , ushauri, ni kitu gani tuanzishe ili tuwe. Kwa hiyo mwanamke wa jf changamkia tenda hii toa maoni , ushauri wako

issue 2: Kuwa na chombo cha wanawake wa jf
ambacho kitatetea maslahi ya wanawake hususani katika ukandamizaji juu ya mfumo dume uliopo na kuwainua wanawake ambao hawajiwezi km vile; walemavu, wenye matatizo ya uzazi, magonjwa ya kufisha na wanawake walioko vijijiini n.k, kuwatembelea na kujua matatizo yao na kuweza kuwasaidia kwa namna moja ama nyingine.

isuue 3: Utamaduni na desturi za mwanamke wa kitanzania ziweje
hii itahusika na maadili ya mwanamke wa kitanzania aweje na mambo mengine ya kitamaduni
mavazi, maisha kwa ujumla

issue 4: Mambo ya burudani
yaani tuwe na studio yetu wenyewe ambayo tutaimiliki na tuwe na na vitu ambavyo tutafanya vya burudani ili kutunisha mfuko wetu wa women issue.

issue 5: Mambo ya kitabibu na kisaikolojia zaidi,
tuwe na watu waliosomea mambo ya cancelling, ushauri na mambo ya kitabibu tuwapo katika
vikao vyetu ama makongamano yetu ambayo tutawaita wataalamu na kutufundisha zaidi
maisha ya uzzazi wa mpango na mambo ya ndoa na maisha kwa ujumla.

issue 6: Tuwe na mambo ya ujasiliamali
mwanamke ni nguzo ya familia hivyo hana budi kuwa mchapakazi ili kuinua uchumi wa familia
yake.

kama kuna mambo mengine ambayo sijayaoroddhesha hapa basi wewe mwanamke wa jf naomba ushirikiano wako na mchango wako wa ushauri namna gani tufanye ili tuweze kuwa kitu kimoja ndani ya jf hii na ili tuweze kutambuana na kuinuana kama wanawake wa jf, ili ni jambo jema tena la busara kuwa pamoja kwa umoja na kufanya jambo au kitu kwa pamoja ni jukwaa la wanawake wa jf. Basi usisite kutwanga hapa mtazamo wako tufanye nini ili tuinuane wanawake wa jf.
Sikakatai ushauri, maoni, mapendekezo, au jambo lolote liwe jema au baya we twanga tu tutasaidiana na kama mnataka lilni tuanzishe kitu hiki basi msisite kusema hapa.
Natumia tuko pamoja

slogan: 'tutajenga women issue kwa umoja na upendo'
 
ladyfurahia

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Messages
13,899
Likes
1,379
Points
280
ladyfurahia

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined May 10, 2011
13,899 1,379 280
hapana ndugu yangu usisite kujisajili hakuna kiingilio chochote wala mchango wowote kwani tutawafuta wafadhali waafadhiili hii kitu
 
ladyfurahia

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Messages
13,899
Likes
1,379
Points
280
ladyfurahia

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined May 10, 2011
13,899 1,379 280
heee jamani mbona umefika mbali huko sisi sio walanguzi wala wababaishaji bhan mkalikenya mwambie ajiunge aone utamu wake ulivyo aje kucheza ngoma za huku bongo sio akae huko kenya tu ajifunzevya bongo bhana
Mke wangu sitaki kabisa mzoeane naye nyie walanguzi wa wake za watu kwa teknologia ya digitari.
 
ladyfurahia

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Messages
13,899
Likes
1,379
Points
280
ladyfurahia

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined May 10, 2011
13,899 1,379 280
heee jamani wanaume mbona mnaingilia mambo ya wanawake hayawahusu ninyi nanyi wekeni mambo yenyu na myaongelee jamani heeeeee
sijapenda kabisa hii kitu hapa hasa wewe moto2012 khaa
khaaaaaah! we umechafua hali ya hewa!!
 
ladyfurahia

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Messages
13,899
Likes
1,379
Points
280
ladyfurahia

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined May 10, 2011
13,899 1,379 280
wewe umeshazoea kupewa nini? kwani hujaona chombo cha TAMWA kinavyofanyakazi yake hujawaoona wanawake wakiwasaidia wanawake wa vijijini unaishi mbingu hipi wewe? ya hapa duniani au uko ahera? angalia tena wewe yaelkea ni mwanaume hapa ni wanawake maalum tu na sio wewe acha hivyo mwambie bibi, dada na mama yako wajiunge uone kama hatutawaiidia weeeeeeeeeeeeeeeeee
Hivi vyombo vya wanawake mbona sijawahi ona vikimsaidia kwa lolote bibi yangu na wanawake wenzake kule kijijini?
Sorry kumbe ni kwa wamama tu!!! Bye..........:car:
 
Forum statistics

Threads 1,237,568
Members 475,562
Posts 29,293,840