Je, Vibati vina faida?

TheCrazy Mchokozi

Senior Member
Apr 7, 2017
180
251
Nimekuwa katika vibati viwili tu kwa maisha yangu, niliviacha haraka sana.Sijui nilikuwa kwa vibati sio au ila tokea hapo nimeacha kabisa kucheza vibati.

Vibati vina faida sikatai ila kuna hasara kubwa;

■Muda utapokea pesa zako za mzunguko na hujajipanga utazitumia vibaya.
■Kama upo kibati na watu wazungushaji utakuwa unapoteza pesa tu.
■Kama kibati ni cha zaidi ya watu 20. Jua tu kutakuwa na wazinguaji.

Mimi noana tu watu wangetengeneza saccos ambazo, wanasave pesa
Wakizitoa kwa mtu wakwanza wazitoe kama investment (na maana kwamba mmoja mwenye idea ya biashara nzuri anafunguliwa biashara ambayo asilimia fulani itakuwa ya sacco)

Izi investment zinakuwa societal (na maana mnahakikisha mna kuwa kama society ambayo mnajengana na mna maisha yanayofanana kwa namna fula I)

Vibati ni microfinance nzuri lakini msipojipanga mtapata mnajenga uadui kuliko urafiki.
 
Iwe kibubu, kibati, saccos, vicoba zote zina changamoto zake.
Uzuri wa kibati haina riba
Kuhusu kupokea lini ni malengo mnajipanga, ukiona inaangukia tarehe isiyo unaachana nayo.
Masharti yake ni nafuu. Haihitaji barua ya mwenyekiti au mdhamini.
Ila hakuna kizuri kisicho na kasoro na changamoto hazikosekani.
Haina bima au dhamana.
 
Safi nimekuelewa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom