Salahan
JF-Expert Member
- Sep 10, 2014
- 2,963
- 3,675
NAJIHAMI
NAHITAJI MSAADA/MAWAZO SIO KEJELI
NILIAGIZA MZIGO TOKA CHINA NA KUSAFIRISHA KWA UPS NA UMEFIKA NA KUGOMEA BANDARINI/TRA.ULITAKIWA UFIKE MOROGORO
LEO TAREHE 11/04/2017 NIMEPOKEA SIMU TOKA UPS WAKINITAARIFU KUZUIWA KWA MZIGO NA TRA NIKITAKIWA KUKAMILISHA VITU KADHAA IKIWEMO TIN NO.NIKATUMIWA EMAIL INAYOSOMEKA
Dear LIKATAJWA JINA LANGI,
Your shipment has arrived and being held by Customs pending clearance procedure which requires:
Following fees will be applicable:
We are duty-bound to deliver to your door after the above exercise.
Urgently advice way forward to avoid further delay of your parcel.
EMAIL IKAAMBATANISHWA NA AUTHORIZATION LETTER 2017
KIKUBWA KWANGU MIMI NI IYO TIN NO AMBAYO NIMEJARIBU KUISAJILI KWA MTANDAO WA TRA LAKINI INAGOMA IKINILETEA TAARIFA ISIYOWEZA KUNIAMBIA NIMEKOSEA WAPI YAANI NIMESHINDWA KUIELEWA.
IYO FMU YA TRA INANILETEA UJUMBE HUU JUU KABISA YA FOMU NA HAKUNA SEHEMU ZA LAZIMA KUJAZA AMBAZO SIJAJAZA...
Input string was not in a correct format.
BASI IKIWA KWA NJIA HII YA ONLINE HAIWEZEKANI ITANILAZIMU KWENDA OFISINI NA SIJUI NDIO KUNA FOLENI KIASI GANI AMA MIZUNGUKO MINGI NAMNA GANI...
NATARAJI KWA MAWZO YENU NA USHAURI WENU HASA IKIWA UNAUFAHAMU NA HII TRA.
IKIWA KUNA MAELEZO WAWEZA NISAIDIA KUHUSU HII FOMU YA TRA USISITE KUNIPA MAELEKEZO MANUALLY KWA 0713055107 AMA MAWAZO KESHO NITAAMKA INSHA ALLAH NIKIJUA NIANZIE WAPI.

- TIN Certificate
- LOA as per attached format addressed to Cargo Manager Swiss port and TRA authorizing clearance on behalf
- Financing of the assessed Import Duty, VAT and other taxes as advised (company policy requires consignee to finance this element)
- If your consignment will attract any kind of government regulators certificate e.g., TBS, TFDA, CHEMICAL PERMIT or IMPORT PERMIT you’re responsible for provision for the same.
- Estimate time for clearance its 7 working days.
- Otherwise we handover the documents to your choice of a Customs agent/broker for clearance
Following fees will be applicable:
- Items 1 to 3
- TZS 80,000 + VAT
- Swiss port Airport handling charges at cost per Invoice (min. TZS 20,000)
- Duties and Taxes payable at the airport or through your Bankers by presenting the TISS – “TAX PAYMENT SLIP” quoting the Control no. which is on the top right hand corner of the page
- Item 6 Handover fee of TZS 57,000