KIOO
JF-Expert Member
- Mar 3, 2013
- 6,160
- 5,741
Heshima kwenu wakuu.
Natumai mnaendelea vyema kabisa. Bila ya kupoteza muda nimeskia tu juu juu kuhusu hii biashara nikasema ngoja nije hapa Home of Great Thinkers siwezi kukosa maelezo ya kutosha.
Naomba mwenye kuijua vizuri atujulishe inafanyaje kazi na profit inakuwaje, jinsi ya kujiunga na huduma gani pia mtu anaweza kutoa kupitia biashara hii.
Najua kuwa JF inaunganisha watu wengi toka sehemu nyingi tu hivyo itakuwa rahisi kupata details za hii kitu. Na hata kama ina mapungufu pia sio mbaya kujuzana wadau hasa wale ambao tayari wameshajiunga nayo au hata jamaa yako kama anafanya natumai unaweza kuwa na lolote la kutuambia juu ya Piuni.
Nawasilisha.
Thanks.