mandella
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,048
- 3,231
Hakuma Jambo linakera Kama Mtu afanye Ujinga Kwnye Technologia .
ulishawahi nunua App Kutoka Store yeyote halafu Unakuta ni Fake.
Basi mm najihisi nimepakua Application Fake kutoka Vodacom Inayoitwa Mpesa .
Ona kinachoniletea .,line yangu ni ya voda na nertwork ni ya Voda .
Mwambieni IT wenu achungulie App ya Tigo pesa .. Inateleza haswa . ..wala haichagua sijui nertwork ..sijui nn ..yaani ni laini kuliko Maelezo