TANZANIAS ARTIFICIAL HOUSING MARKET,
HOW LONG WILL IT HOLD - DEBATE!
In the aftermath of the Global economic meltdown, many economists and financial experts have been gripped with criticism...
Ufadhili katika miradi ya sanaa (Artistic projects) kwa kiasi kikubwa hukuza utamaduni wa jamii husika na Taifa kwa ujumla.
Hivyo katika ukuzaji wa utamaduni wa jamii husika, taasisi zilizojikita...
Somo: KANUNI ZA MJASIRIAMALI:
Mwl. Mbise, AJ
E: mbisealex@gmail.com
M: 0762730157
Wasalaam;
Leo tuendelee na somo letu ambapo tunajifunza Kanuni za mjasirimali. Utakubaliana nami kuwa kila...
Pamoja na kejeli nyingi kwa wafanyakazi/waajiriwa wanaotegemea, bado uwezekano wa mfanyakazi kujikwamua kiuchumi upo akizingatia mambo kadhaa. Kubwa ni nidhamu. Unapokuwa na nidhamu ya mshahara...
Mauzo ya hati fungani katika Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) wiki iliyoishia tarehe 13 Aprili 2017 yameshuka kutoka thamani ya Shilingi Bilioni 12.1 wiki iliyopita hadi Shilingi Bilioni 6.9...
Habari za muda wanajamvi,
Wahenga walinena Tahadhari kabla ya hatari au vilevile Kinga ni bora kuliko tiba, basi nami naomba nianze kutoa tahadhari kama ifuatavyo.
Najua ni watanzania wengi...
HABARI WANAJAMVI ,KUTOKANA NA KUVUTIWA NA BIASHARA YA KUCHUKUA STOCK YA MAHARAGE NA KUUZA KWA JUMLA MIKOANI NA DAR ES SALAAM.NAOMBA WAZOEFU MNIDSAIDIE KUJUA JINSI HII BIASHARA INAVYO FANYWA NA...
Gazeti la The Citzen linapaswa kupuuzwa kwa kile ilichofanya kuandika kuwa kampuni ya Vodacom inapanga kuomba kuongezewa muda wa kuuza hisa zake kuwaruhusu wageni kununua hisa za Vodacom.
Huku...
Nimepata majengo ambayo nahitaji kufungua chuo cha utalii na usimamizi wa mahoteli na accounts. Sasa mahitaji ya sasa ni
1. Usajili
2. Katiba
3. Lesseni
4. Kodi
Chuo hicho nataraji kuanza...
Vikwazo vya biashara vinatofautiana kwa kila mmoja mfano kuna mwingine fursa ya biashara anakuwa nayo ila shida ni mtaji wakati kuna mwingine mtaji anao wakutosha ila hajui auze nini ili kimtoe...
Salaam JF
Mimi ni kijana mtanzania graduate wa chuo kimojawapo hapa mchini. Pia ni mgeni kidogo humu JamiiForums hii ndio post yangu ya kwanza (Ingawa ni member wa muda kidogo)
Nimekuwa na...
Kijana kama ulifeli form 4 na ukajihisi kuwa ndo mwisho wa malengo yako em usikate tamaa mshirikishe Mungu pia wajibika kwa utendaji wa shughul ndogondogo usidharau kazi kheri wewe uliyeingiza 100...
Kumiliki bajaji
Kumiliki pikipiki (boda boda)
Kuanzisha blogu
Kuanzisha gazeti la uchunguzi tu pekee
Kuanzisha huduma ya chakula mama lishe
Kumiliki daladala
Kumiliki vikirikuu vya kubeba mizigo...
Habarini wandugu, Kwanza kiabisa nawapa pole kwa kuendelea kuisoma namba. Pili nataka kidogo nipitie hizi hisa\offering za Voda ambazo saizi ndo hot issue kn Tanzania investment. Hisa za voda kama...
Wiki hii Mhe Magufuli amezindua mradi mkubwa wa ujenzi wa treni Dar- Moro, ambapo inasemekana 100% ya fedha zote zitakazotumika ni za ndani. Mradi huu utatumia takribani trilioni 2.7 (chanzo...
Habari za mchana wakuu..kuna kipande cha eneo tunataka kuuza kiko maeneo ya mbezi luis njia ya kuelekea goba ila tunataka kujua thaman ya eneo kwa mfano 20 kwa 30..