Habari zenu wakuu, ninashida wakuu,
Inanitatiza bado sijapata suluhisho mpaka mda huu na jambo lenyewe nakaribia kulifanya. Bila ya kuwachosha nianze na jambo langu ninalotaka msaada.
Ninataka...
Mtu mwenye mafanikio kiuchumi (tajiri) ana sifa tatu tu!
1. Anaweka akiba zaidi ya 20% ya mapato yake.
Yaani Account inasoma.
2. Amewekeza (investment) zaida ya 30% ya Mali zake, yaani Mali kuzaa...
Ndugu zangu naomba nichukue nafasi hii kupeleka lawama katika shirika la viwango Tanzania.
Hawa watu niwazee wa media pale wakipata kitu kisichoruhusiwa kutumika basi wataita vyombo vyote vya...
Mods naombeni uzi huu uwe sticky kwa manufaa ya wengi.
Maisha ya mijini hususani miji mikubwa kama Dsm mikopo ya hapa na pale ni jambo la kawaida sana. Riba za 60%, 50%, 40%, na kuendelea ni...
Habari, nina shida ya housing ya laptop aina ya Toshiba, niliangusha ikakatika lock za kushikia kioo ili kisimame
Kwa mwenye nazo tuwasiliane
0744666669
0657666669
0688666669.
Elimu yangu ni Diploma (Clinical officer) nahitaji kufungua kitua changu binafsi kwa ajili ya kutoa huduma ya afya. Napenda kujua kama sheria inaruhusu kuwa na kituo kama hicho kwa mtu wa level ya...
Wanajamvi habari,
Mi nilikua mwajiriwa ila nimeeacha iyo kazi lengo langu kuu ni kujiajiri,Nina experience na biashara kwan nishawai Fanya nikiwa mkoa,ilikua depot ya bia na hardware,
Lengo...
Wakuu habari zenu, naomba kuuliza kwa yeyote anaefahamu benki ambayo mtu anaweza kufanya transactions zote including kuweka na kutoa pesa akiwa Tanzania na pia hata akiwa China.
Heshima yenu wadau,
Naomba ushauri wenu nina kampuni yangu nilifungua mwaka jana ila mambo yanakuwa magumu sana, ni kipi napaswa kufanya?
Mpaka nimewaza kutafuta partiner ila sijui linakuwaje...
Nipende kuweka wazi kwa Uongozi wa CRDB ukiongozwa na Dr.Kimei kama gawio kwa hisa moja ni shillingi 10 kesho asubuhi nitaenda kwanza kuhamisha akaunti yangu CRDB na pia kuuza hisa zangu zote. Ni...
Wanajf ningependa tu tupie hapa ni fursa gan ya kibiashara au kiujasiriamali ambayo ina soko katika kipindi hiki cha Rais Magufuli.
Lengo ni kushirikishana na kupeana ushauri.
Nawasilisha.
Nimeangalia muktadha wa nchi yetu kwa hali ya sasa,upungufu wa vyakula muhimu,kutokana na tabia nchi,mvua kuchelewa,wakulima kuchelewa kupanda na ukame ulioikumba nchi miez kadhaa nyuma,bei za...
Wakuu nimeshangaa bei ya Matikiti Jana nilivyopita Sokoni na Kununua Tikiti kubwa kwa Tsh. 300/= tofauti na Maneno Mengi ya Kwenye Keyboard yanayosimuliwa na watu wengi ambao wamezaliwa Dar es...
machine
Nataka niwaoneshe material yanayotengeneza bati,inayoingizwa hapa kwetu ni coil ambayo ikipitishwa kwa mashine ndio inakata bati,kila mkunjo kila aina ya bati ina machine yake na...