Fursa za kibiashara na/au ujasiriamali awamu hii ya Magufuli

xtaper

JF-Expert Member
Feb 22, 2015
3,319
4,699
Wanajf ningependa tu tupie hapa ni fursa gan ya kibiashara au kiujasiriamali ambayo ina soko katika kipindi hiki cha Rais Magufuli.

Lengo ni kushirikishana na kupeana ushauri.

Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom