Mods naombeni uzi huu uwe sticky kwa manufaa ya wengi.
Maisha ya mijini hususani miji mikubwa kama Dsm mikopo ya hapa na pale ni jambo la kawaida sana. Riba za 60%, 50%, 40%, na kuendelea ni jambo la kawaida sana kwa hapa Dsm.
Sasa kuna baadhi ya changamoto kwa upande wa dhamana. Wengi tunaweka magari, wengine vitu vya dhamani kubwa na kadhalika ili tupate mikopo. Si jambo geni sana kushindwa kurejesha mikopo hasa pale unapowekewa compound interest yaani riba ongezeko (sio kiswahili rasmi).
Hebu tushirikishane kupeana abc namna ya kudili na loan defaulters, pia mipango namna ya kurejesha kwa wakati ili kuepukana na kuchukuliwa kwa dhamana zetu. Bado sijajua hasa namna gani hawa players wa hili soko wanavyokomaa na hawa wakimbia madeni; naona risk ni kubwa mno lkn jamaa wanaendelea kukomaa tu.
Twende mbali pia tuelezane ni taasisi gani ipo rafiki sana wakati wa mkopo wa dharura (wa mjini tunafahamu uzito wa dharura).
Naomba iwasilishwe mbele yenu.