Justine Marack
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 608
- 1,696
Elimu yangu ni Diploma (Clinical officer) nahitaji kufungua kitua changu binafsi kwa ajili ya kutoa huduma ya afya. Napenda kujua kama sheria inaruhusu kuwa na kituo kama hicho kwa mtu wa level ya elimu kama yangu?Pia kujua taratibu na mamlaka ya usajili. NatanguliZa shukueani nyingi.