Jinsi ya kutangaza biashara kupitia Facebook

lyundu

Member
Apr 2, 2017
8
11
Wadau mabib na mabwana naomben kwa yeyote mwenye kujua jinsi ya kutangaza biashara kupitia Facebook na watsap anijulishe.. Asanten sana
 
Kama ni facebook ni vema ufungue Page ya matangazo uwaalike rafiki zako walike hiyo Page ili iwe na Followers au tumia njia ya kupromote ukurasa ili upate kuwafikia watu wengi(hapa unalipia) Kisha Page ikishafikisha hata Likes 3000 anza sasa kupost hiyo biashara yako. Na pia ukitaka hiyo biashara yako iwafikie angalau wote hao 3000 ni lazima ulipie tena(hapa ndipo unapoona baadhi ya matangazo yameandikwa 'Imedhaminiwa'.
 
Wadau mabib na mabwana naomben kwa yeyote mwenye kujua jinsi ya kutangaza biashara kupitia Facebook na watsap anijulishe.. Asanten sana
unatakiwa kulipia tu. kuna namna ya kulipia nadhani ni dola mbili hvi au moja
 
Back
Top Bottom