Nisaidiwe kwa hili

BIGstallion

JF-Expert Member
Sep 13, 2016
6,324
7,909
Wanajamvi habari,

Mi nilikua mwajiriwa ila nimeeacha iyo kazi lengo langu kuu ni kujiajiri,Nina experience na biashara kwan nishawai Fanya nikiwa mkoa,ilikua depot ya bia na hardware,

Lengo;

Lengo kuu ni kufungua biashara ya logistics (Import and Export),sijawai Fanya ii biashara, pia sijawai Fanya biashara apa dar,japo sidhan kama itakua changamoto sana,

Msaada;
Nachotaka kujua ni changamoto zipi zinaendana na ii biashara, kwa mfano swala LA mtaji,capital expenditure,competition, na upatikanaj wa tender or leads,.

Kama kunamtu yoyote mwenye ana uhusiano na hili anijuliashe kwa chochote niweze kua na mwanga wa kuanzia na yeyote mwenye mchango wadau..

Natanguliza shukran za dhati



NB;Kampuni IPO tayari na office IPO mbezi beach,

Nawasilisha,
 
Back
Top Bottom