mindpower
JF-Expert Member
- Oct 1, 2016
- 1,049
- 1,211
Mtu mwenye mafanikio kiuchumi (tajiri) ana sifa tatu tu!
1. Anaweka akiba zaidi ya 20% ya mapato yake.
Yaani Account inasoma.
2. Amewekeza (investment) zaida ya 30% ya Mali zake, yaani Mali kuzaa mali
Anaweza kaa zaid ya miezi 6 bila kazi Ila pesa inaingia na maisha yanaenda bila shida.
3.hana deni!
Kumbuka mkopo ni mtaji sio deni
Biashara na mwenye biashara ni vitu wiwili tofauti!
Hizo ndo sifa za first class!
Ndugu wana jf kama huna sifa hizo ujue upo kwenye kundi la watu masikini na bado unasafar ndefu kufikia kuitwa mtu mwenye mafanikio kiuchumi!
Jitambue we masikini au tajiri!