Jua jinsi bati linavyotengnezwa,material je?vipimo,aina!

JMK ROYAL SERVICES

JF-Expert Member
Jun 8, 2016
226
83
015736921680fa50d3c1d48644fffb78.jpg
machine

Nataka niwaoneshe material yanayotengeneza bati,inayoingizwa hapa kwetu ni coil ambayo ikipitishwa kwa mashine ndio inakata bati,kila mkunjo kila aina ya bati ina machine yake na haziingiliani,na gauge ipo kwenye coil kuanzia coil ya gauge 26,28,30 na 32,hiii imetupa faida kwa kuwa bati inaeza kukatwa kea urefu utakao na ata kipande kimoja kisibaki chini ,
9cfe86fc4c8e64a08619f2f88c3229e6.jpg

kama fundi wako kakupimia kufuatana na upana wa bati utakao nunua,c lazima ununue za urefu wa 3m\10ft hyo ni mitindo ya zamani na unakuwa hujapunguza cost maana kwa nn vipande vibaki,wakati unaleta vipimo kamili na unatengenezewa kutokana na vipimo vyako.
siku hizi fundi akimaliza piga mbao anakupimia urefu wa sehemu zote bati litapofiti ili usiharibu kukata bati au kubakiza,upana wa bati unatofautiana kutokana na machine zilizofungwa kiwandani,kuna za upana wa 84cm,87cm,90cm,97cm,107cm hadi110cm
a747ad98ec340c77d820dd54146d3090.jpg


kadri upana unavyoongezeka ndio zinakaa chache juu,
Ni muhimu kujua upana wa bati unaotaka ili fundi akupe vipimo kamili
Call 0656-816616 kwa maelezo zaidi karibuni.sana
.tutaendelea
 
Back
Top Bottom