Sunday jonas
Member
- May 6, 2017
- 15
- 4
Biashara ya hisa ina itaji shule ya kutosha sana kabla hujaingia huko ndio maana hata kwenye tangazo lao wankuambia tafuta mtaalam wako akuelimishe kwanza, usije ukaingia kichwa kichwa badaye ukaona kama unaibiwa vile!! Kifupi biashara ya kuwekeza kwenye hisa kwa mlala hoi utapata shida sana!! Kwani MCHEZO HUO HAUITAJI PAPALA!! KAMWE!! Yaani unaweka pesa yako unakuwa kama vile umeisahau vile. Bora uwekeze kwenye biashara nyingine tu huko kwa mtizamo wangu hutapaweza.
Nimekupata vyema mkuuBiashara ya hisa ina itaji shule ya kutosha sana kabla hujaingia huko ndio maana hata kwenye tangazo lao wankuambia tafuta mtaalam wako akuelimishe kwanza, usije ukaingia kichwa kichwa badaye ukaona kama unaibiwa vile!! Kifupi biashara ya kuwekeza kwenye hisa kwa mlala hoi utapata shida sana!! Kwani MCHEZO HUO HAUITAJI PAPALA!! KAMWE!! Yaani unaweka pesa yako unakuwa kama vile umeisahau vile. Bora uwekeze kwenye biashara nyingine tu huko kwa mtizamo wangu hutapaweza.
DuhhWataalamu wanasema itachukua kama miaka 20 kwa pesa yako kurudi kwa kutegemea gawio, so jipange hapo.
Jinalako naushauliwako vina umoja ulio tukukaFungua biashara.au kalete heshima club
Nimekupata vyema mkuuBiashara ya hisa sio biashara ya mtu anayetafuta faida ya haraka haraka...ilahitaji uelewa wa kutosha maana ni kama kamari, uwe msomaji na mfuatiliaji mzuri wa mambo ya kiuchumi.
Jinalako naushauliwako vina umoja ulio tukuka
Kwamda gan hiyo 10Ukweli ni kuwa ununuaji wa hisa ni biashara kichaa. Mtu anaweza akasema kuwa sijui biashara hii, la hasha. Mfano, CRDB Bank walitangaza faida ya almost 150+ kwa hesabu za mwaka jana. Lakini, kila mwahisa anategemea kupata shs 10 kwa kila hisa kama dividend. Hii ni disaster.
Kwamda gan hiyo 10
Ndo dividend waliyotangaza mwaka huu CRDB?Ni mwaka mkuu. So kama una hisa 10 tegemea kupata Tshs 100