Hanari za leo wakuu! Kama kichwa kinavyosema hapo juu, naombeni msaada kwa yeyote anayejua anisaidie kunipa taarifa ya gharama za kusafirisha ng'ombe kutoka maeneo ya Karagwe, Mwanza, Shinyanga...
Jamani wana Jamii naombeni msaada wa kimawazo nahitaji kwenda Nairobi kwa kazi ya saluni ya kike but sijajua ni sehemu ipi inafaa ,hata kodi zao za nyumba zikoje kwa mwezi
habari zenu wakuu.. naomba msaada wa mawazo, nko njia panda kidogo.
Mimi ni kijana 25yrs nlianza maisha ya kujitegemea kama miaka 2 iliopita baada ya kumaliza elimu yangu ya diploma, makazi yangu...
We understand that SWALA OIL AND (T) plc is in the process of acquiring 40% of ORCA EXPLORATION PLC/PAN AFRCAN ENERGY TANZANIA. After SWALA acquired its first tranche, TPDC and Controller Auditor...
Wana JF secta hii ya Microcredit ni nzuri sana, kuna fursa kwa anayehitaji kuwekeza kwa masharti ya kwamba
1. awe na mtaji wa sh 400,000 - 1,000,000, kila sh 100,000 atapata faida ya sh 5,000 kwa...
Kuna mtu ananishawishi sana niingie kwenye hii kitu.
Naomba kuna watu walishajiunga na wakafanikiwa walete ushuhuda kabla sijaingiza Pesa zangu.
*BITWORLD CENTER* ni kampuni iliyosajiriwa *Rio...
Salaam Wakuu,
Kadri siku zinavoenda kunatokea mabadiliko kadha wa kadha katika sector mbali mbali za kiuchumi kuanzia usafirishaji , kilimo,biashara na Huduma, n.k katika taifa letu.
Mabadiliko...
Habari ndugu watanzania,
natumaini munaendelea vyema na jitihada za ujenzi wa taifa letu hili changa kiuchumi,
nikiwa kama mtanzania kijana ninapambana kwa ustawi wa taifa langu na familia yangu...
Air Tanzania needs a radical changes if it wants to make a profit, stay afloat and beat the competition.
One of the things it should do, is to convert its engines to function on LNG (liquefied...
Habari wadau wa JF,
Nataka kuingia kwenye biashara ya mbao, hivyo nahitaji mambo yafuatayo.
1. Utaratibu wa Vibali vya uvunaji-TFS, Serikali za vijiji, Wizara etc.
2. Kampuni inayopaswa kufanya...
Baada ya Handeni kuhamasika na kulima zaidi mihogo badala ya mahindi waliyoyazoea kama zao la biashara na chakula sasa soko linawapiga Cheng's ya mwili. Baada ya mafanikio ya wakulima wa kijiji...
WAKUU,
MIONGONI MWA VITU VYENYE TIJA NI KUOMBA USHAURI KWA JAMAA NA MARAFIKI
PINDI UPATAPO IDEA YENYE TIJA NA ENDELEVU.
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Nadhani hakuna asiyejua kuwa...
Wakuu habari?kama kichwa cha habari kisemavyo .
Hatua zipi nizifuate ili niweze pata laini ya biashara,kama vile tigo pesa na m.pesa.
Hatua hizo ziwe za kiserikali na kimakapuni ya simu.
Pia...
Imeelezwa na maafisa masoko wa jiji la Dsm kuwa bei ya mchele imeshuka kutoka sh.2600 hadi sh.1300 kwa kilo na itaendelea kushuka hadi kufikia sh.1000 kwa kilo. Hali kadhalika bidhaa nyingine...
Kama wewe mwandishi nzuri wa vitabu, tumfate Diamond platinum tumweleze tunataka kuandika kitabu kinachohusu wewe then kikikamilika akiuza kwasababu maarufu tunapiga pesa, atahusika yeye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.