Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Heshima kwenu wadau, ningependa kupata muongozo wa hii biashara ya bookshop kwa wenye uelewa nayo niweze kujua mambo kadhaa. Ni wapi naweza pata mzigo kwa bei poa. Ni vitabu gani hasa natakiwa...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Naitaji kujua Bei ya dhahabu kwa Sasa na wapi walipo wanunuzi
0 Reactions
6 Replies
8K Views
Kilimo ni Sekta ambayo imekuwa ikitambulisha bara la Africa kwenye Dunia inayo tuzunguka. Kitu cha ajabu ni kuwa watu wachache sana Hupata thamani halisi ya Sekta hii pana na yenye faida. Kwanza...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Tupo is a major business listing directory in Tanzania. Whether you’re looking for a great coffee shop nearby, a new salon, or the best services in town, Tupo is your city guide to finding the...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Natamani kujiunga na kikundi cha ujasiliamali kilichoko mikoa yote Tanzania Kama kuna mtu anakijua anijuze
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Message…Napenda kujua bei ya vile vifaa au zile helufi zitumikazo kutengenezea kacha za mkononi kwa ujumla vinauzwa kwa bei gan nataka kuanzisha ujasriamal
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Kuna fununu ambazo zinasambaa sana kuwa bei ya bia na soda itashuka bei mda wowote.. Kwa aliye na uhakika atuambie na ni tarehe ipi itakuwa hivyo.
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Habari wana JF, Imepita muda tangu nitangaze wazo la kilimo cha biashara cha michungwa na tathmini ya mapato pamoja na gharama zake ingawa nimepata changamoto za maswali mengi kutoka kwa...
0 Reactions
20 Replies
8K Views
Check my Taxify ride here Taxify Share ETA
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu, Natafuta shampeni zisizo na vilevi ambazo bei yake haizidi sh. 5,500. Nahitaji nyingi kidogo Tafadhali kama unafaham naomba uweke maelezo wape naweza pata au weka namba ya simu...
1 Reactions
8 Replies
8K Views
Hiki kifaa jamani ninakiuza .. Ni chakijapani beiyake Ni $1000
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wanajamvi habari zenu.kwa wale wanaohitaji uyoga mweupe fresh(oyster mushroom) basi naomba tuwasiliane kwa namba 0753289393.nipo dar maeneo ya mbweni na ukihitaji unaletewa mpaka nyumbani kwako...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
now let's got into the world of investments and look for the secrets of the rich in this world of thinking and growing rich up to the time you ritire working.am concerned that too many people are...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Message…Napenda kujua bei ya vile vifaa au zile helufi zitumikazo kutengenezea kacha za mkononi.....KWA bei ya jumla vinauzwa kwa bei gan.. Msaada wenu jaman
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Mashine ni ya umeme,ina roller mbili na uwezo wa hali ya juu sana,ina kibanda chake kabisaa,bei ni 2000000 lakini inaongeleka,mashine ipo DAR ES SALAAM,SALASALA kwa mawasiliano 0693208482
1 Reactions
0 Replies
2K Views
SOKONI Karibu upate kamera kali kwa bei poa sana nicheki mpya na used mawasiliana: 0753946107 0625929915
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Samahan Waugwana Naiman Wazima Wa Afya Mimi Ni Kijana Umr Miaka 19 Sijabahatika Kusoma Nimeishia La 7 Nimepata Pesa Tsh Million 2 Za Kitanzania Kutokana Na Uhaba Wa Spea Za Pikipik Katika Mtaa...
2 Reactions
3 Replies
5K Views
habari zenu wapendwa napenda mnisaidie gari gani ni ngumu kati ya TOYOTA WISH AU TOYOTA RACTS nahitaji kununua gari ila machaguo yangu ni kati ya magari hayo mawili nishaurini gari gani itaweza...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Hamjambo Watanzania! Ikiwa imepita miezi michache tangu benki ya Twiga iunganishwa na TPB kutokana na kushindwa kujiendesha yenyewe sasa ni zamu ya TWB. Hali ya taasisi za kifedha kuunganishwa...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Salaam Wadau, Nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa mada mbalimbali zinazokuja humu JF hasa za biashara na uwekezaji na nyingine nimechukua hatua moja mbele na kwenda kuzitekeleza...matunda si...
3 Reactions
125 Replies
15K Views
Back
Top Bottom