Wizara ya Fedha na Mamlaka ya Mapato (TRA) wamethibitisha kuwa tatizo lililotokea kwenye mfumo wa kielektroniki wa utoaji risiti (EFD) kwa siku kadhaa zilizopita limetatuliwa sasa. Hivyo asitokee...
Heshima kwenu!
Naomba msaada wa kuelekezwa Jinsi ya kuandika Business Proposal! Ni Chuo kinatakiwa kujengwa sasa nahitaji kuandaa hio kitu Msaada tafadhari!
Hey, there.
We only talk about earning money during construction phase of Natural liquefied Natural gas (LNG) plant in Lind town, Tanzania.
Either you are looking to invest or you're looking for...
Mfano ukikopa NMB, CRDB au NBC kisha ukafanya mambo yako yakaenda kama ulivyotarajia na ukataka kurudisha mkopo mapema ni gharama zipi utakumbana nazo tofauti na kiasi cha mkopo kilichokuwa...
Ndugu wajasiriamali,
Kama mnavoona hali ya chakula nchini ikiwa vizuri kabisa. Cha kustabisha wafanyabiashara ya mahindi namba zinasomeka kwelikweli saivi kilo kuanzia 400 /=
Tatizo linakuja mtu...
Kuna kipindi(about 5months ago) niliwahi kuleta idea yangu ya project,
. . . Project yangu ilijikita zaidi kuweza kutatua kero ya UPUKUCHUAJI wa mahindi kijijini kwetu na baadhi ya vijiji vya...
Habari Wakuu,
Nianze moja kwa moja kuzungumzia kuhusiana na mada tajwa, mimi ni mkulima na pia nafanya biashara ya kununua mahindi kisha naweka store kwa muda nikisubiri bei iongezeke...
Miaka...
Habari!
Leo nimemsikia Dr. Charles Kimei katangaza neema kwa warumishi wa umma na sekta binafsi ila katika yote kasema hits point kama zifuatazo
1. Muda wa marejesho imeongezeka toka miaka 5...
Salaamu kwenu!
Moja kwa moja kwenye Mada.
Mheshimiwa Rais najua unapitapita humu JamiiForums au hata watu wako wa karibu pia.
Nina ombi moja kwako kuhusu hali ngumu ya Biashara hapa nchi kwa...
Karibu wiki ya pili sasa hii benk imekua na tatizo,wazee wanatoka mbali kufuata huduma wanafika wanaambiwa network hakuna,wanajikuta wakikaa masaa mengi sana kusubiria wapate huduma za...
HUWEZI FANIKIWA KWA NDOTO ZA MWINGINE, KUWA DEREVA KAMILI WA MAISHA YAKO.
Hivi umewahi kujiuliza ingekuwa vipi kama ungeijua siku yako ya mwisho duniani? Je! Ungeendelea kuishi na kutenda Kama...
Wananchi na madereva tax wa mkoa wa mwanza wamehimizwa kuchangamkia fursa mpya ya usafiri wa kidigital wa taxify. Taxify itaongeza ajira na kipato kwa madereva tax jijini mwanza na unafuu wa nauli...
habari, kuna video clips nimeziona youtube za kitu wanachoita epoxy. haya ni material unaweza mwaga kwenye floor au meza au viti na kufanya viwe na top kama ya glass. nauliza hapa Tanzania...
Habari wanajukwaa?
Kwa kutumia mifano iliyowahi kutangazwa hapa nchini,naomba kueleweshwa maana ya hizi financial terms na mifano ya jinsi zinavyo fanyika kwa hapa nchini kwetu.
Msaada wenu wajuzi...
Naomba kufahamishwa wadau mashirika ya ndani ya nchi na nje ya nchi ambayo yanapokea na kutoa support kwa makundi ya vijana, na asasi za serikali. Naomba tufahamishane kwa kuweka email ili...
Brela kuanzia mwezi kwanza mwaka huu mlifanya mabadiliko kwenye mfumo wenu wa usajil majina ya kampuni. Lakin mabadiliko hayo yamekuwa shida kwetu watumiaji wa mfumo huo.
Kwani mlitutumia user...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.