Hivi nikilipia tangazo la biashara fb nitapata wateja?

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,581
4,628
Habari wakuu,

Nina page yangu nauza bidhaa za mtandaoni hivi karibuni nataka nianze kuyaboost matangazo yangu fb kwa kuwalipa fb.

Je njia hii nitapata wateja? Kuna aliyewahi kujaribu hivi anipe walau ushuhuda?

Asanteni
 
una elimu gani? Ungeuliza hivi, matangazo yako yatawafikia raia wengi. Maana kuna utofaut wa kuwafikia wengi na kupata wateja ambapo ubora wa bidhaa zako utaamua.
 
Siyo lazima Ukijitangaza Upate wateja Ila Unapanua Wigo wa watu kuona Biashara Yako na Ndio Njia Nzuri ya Kuanza Kununua Vitu
 
Habari wakuu,

Nina page yangu nauza bidhaa za mtandaoni hivi karibuni nataka nianze kuyaboost matangazo yangu fb kwa kuwalipa fb.
social network sio sehemu yakuitegemea sana labda

Je njia hii nitapata wateja? Kuna aliyewahi kujaribu hivi anipe walau ushuhuda?

Asanteni
biashara ya social network kama unataka kulipia inahitaji umakini kutarget wateja wako kuwa mvumilivu na kuwa nabidhaa tofauti
kama mfano unauza vitabu vya shule hakikisha tangazo linawafikia wanafunzi ukitaka kila mtu alione utapata hasara
kitu kingine kutangaza bidhaa mtandaoni inahitaji uwe nabidhaa ambayo inautofauti sana na wauzaji wenzio inaweza ikawa kweny bei au huduma unayotoa ni ngumu kupata mteja wa kununua moja kwa moja utapata wa kuuliza zaidi sababu hakuna mtu anaingia facebook kwa lengo la kununua bidhaa mteja anaweza akauliza bidhaa kwako lakini akipata pesa pengine anaweza akakutana na mtu anaeuza bidhaa kama aliyoiona unaitangaza wewe akaona haina haja sababu bidhaa ni ile ile na bei ni ile ile akanunua kwa mtu mwingone akashindwa kuja kwako hivyo unaweza kujikuta unatumia nguvu nyingi bila mafanikio

mambo ya msingi ni haya unapotaka kutangaza bidhaa mtandaoni
Hakikisha huduma yako ipo unique na biashara zingine kumfanya mteja aje kwako tu
Tangazo liwafikie walengwa
Maelezo mazuri ya bidhaa eleza zaidi faida ya hiyo bidhaa kwa mteja
Hamisha wale wote wanaulizia huduma yako kwenye group la WhatsApp jenganao uaminifu kwanza ndo uanze kuuza bidhaa
 
asante sana
 
soma kitabu kimoja kinaitwa the dot com secret kitakusaidia sana kujua jinsi ya kujitangaza na kupata Wateja watakao nunua bidhaa zako.
 
Yes mzee utapata wateja. Mm nimeshafanya iyo kitu na ni kweli matangazo yako yatawafikia watu wengi sanaa. Ila 2.9$ kwa siku na targeted audience kama 5000 hivii na zaid
 
Back
Top Bottom