Mambo yamenifika shingoni wakubwa tunaosoma chuo bila mkopo ni shida tupu.
Nimeamua kuweka vyeti vyangu bond kwa mtu atakae nisaidia laki saba nilipe chuo ili niweze kufanya mtihan ulioanza leo...
Mikopo ya bure kutoka ''Tala' Hongera lakini kuwa makini na wabongo!
Wana bodi, Kuna kampuni moja ktoka Kenya inatoa mikopo bure kupitia simu bila muomba mkopo kutoa vielelezo kama kampuni...
Wadau salaam zenu,
Najua hiki ni kisima cha maarifa na ndo maana nimeweka wazi nia yangu ya muda mrefu ili nipate mawazo yenu.
Mpaka sasa nimeshanunua ardhi yenye ukubwa wa ekari tatu...
Katika kupambana na hali zetu ajira hamna sasa tunatakiwa kujiajiri.
Kuna jiko limepatikana katika bar maarufu Mbagala na kwa uzoefu wangu jiko hilo linalipa sana. Jiko hilo limeachiwa kutokana...
Za kwenu wapendwa,, nna vitz yangu hapa sema nlikua naomba ushauri niiunge taxify au niiunge uber na je huwez kujiunga zote mbili? wenye uzoefu wanisaidie
Leo mapema nimetembelea MCB bank na kujionea mabadiliko makubwa yaliyofanyika hasa ktk huduma ambazo zimeendelea kutolewa na MCB bank ktk ubora wa hali ya juu kabisa.
UKWELI KUHUSU MCB.
Mwalimu...
Heshma mbele wadau,
Nimeamua kufanya kilimo sehemu za eastern na central zone,nilikuwa nahitaji trekta na kwasababu nguvu yangu kipesa si kubwa sana nimeona nitafute used tractor (napendelea...
Nimeona niongee machache leo kuhusu mzunguko wa pesa nchini, kwa miezi ya karibuni kumekuwa na malalamiko na manunung'uniko mengi kwamba pesa imehadimika, naungana na wote wanaolalamika na...
*HEKO BENKI YA CRDB KWA UBUNIFU HUU*
*Kukua kwa teknolojia kumeleta mabadiliko mengi chanya yanayopelelea maendeleo katika jamii zetu. Nakumbuka nikiwa mdogo mama alipokuwa akitaka kwenda benki...
Habari wakuu.
Leo nimekaa nikafikiria sana kuhusu namna ya kuongeza kipato. Hii ni baada ya kupiga hesabu za gharama za maisha hasa kwa upande wa kulipa kodi ya nyumba, nk.
Mkakati niliouona...
Nina business proposal ni TV program itarushwa kila wiki. Watu wanne kila wiki watakaribishana chakula, host atatengeneza a three course meal, marks zitatoka kwa kila mtu. Atakae score The...
Habari za jumapili ndugu?
Nilianza na bussines idea, nikaifanyia plan yakinifu sasa nimefka kwenye utekelezaji, Hapa nimekwama nusu, hela inayohtajka kwenye Plan yangu n almost 8M, mimi ninayo 3M...
Wakubwa zangu shkamooni.
Kama kichwa cha habar hapo juu kinavyoeleza.
Mm najishughulisha na biashara ya nafaka kama mchele na unga,sembe na dona. Sasa nataka kupandisha thamani ya bidhaa zangu...
Hivi sasa kumekuwa na wimbi kubwa la ongezeko la kampuni mbalimbali zinazokopesha kwa njia ya mtandao.Labda nimechelewa sana kuzisikia habari hizi maana nimeona kampuni zingine zina miaka zaidi ya...
Habarini wanaJF,
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu. Nataka kufanya biashara ya bodaboda na kirikuu, sasa nahitaji ushauri wa vtu vya msingi navyopaswa kuvifanya kabla ya kumkabidhi dereva...
Baada ya kutoka chuo kikuu, niliamua kufanya biashara ya daladala ili maisha yasonge, cha ajabu hii biashara ni pasua kichwa. Utasikia mara tochi, bao mara gari imeharibika nk
Binafsi napenda...
Naelewa kuwa dhahabu ni kitu cha thamani sana. Nimejionea migodini jinsi inavyo tumika gharama kubwa sana ili kupata kitu kiasi kidogo kinacho pimwa kwa ounce tu, lakini hata hivyo kidogo hicho...
[8/9, 18:05] mwangosaid: *PURIFYING EXFOLIATING CLEANSER*
*SPECIAL FOR MEN*
-Hii ni sabuni special kwa wanaume ya kuoshea uso..
*Uchunguzi unasema ngozi ya mwanaume huchelewa sana kuonesha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.