Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Habarin humu ndani kwanza kabisa napenda kujua kama kunatofauti ya kodi kati ya kitambaa cha nguo na nguo iliyokwisha shonwa pindi vinapoingia nchini kwetu? Wanachaji asilimia ngapi au kama...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Kichwa cha uzi chajieleza, naomba kujuzwa Mahitaji au nyaraka muhimu wanazohitaji vodacom ili niweze kupata line ya wakala wa mpesa yenye jina langu
1 Reactions
8 Replies
2K Views
TANGAZO KWA UMMA JUU YA UUZAJI WA VIWANJA KATIKA ENEO LA GOLANI KATA YA KIMBIJI NA YALE YALE PUNA KATA YA PEMBA MNAZI Halmashauri ya Manispaa ya Temeke kwa kushirikiana na Kampuni ya Ardhi Plan...
2 Reactions
27 Replies
11K Views
Wanajamvi naomba kufahamishwa ni mambo gani yanaitajika ili kuweza kusafirisha dagaa na uduvu kwa ajili ya chakula cha kuku Naomba kwa mwenye kuelewa anifahamishe
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu Ninahitaji milioni nne pekee kuendeleza biashara zangu. Nipo tayari kuweka dhamana ya vyeti vyangu vyote kuanzia kidato cha nne hadi chuo kikuu. Mwezi December nitarejesha mkopo hata ikiwa...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Habari zenu, tafadhali naomba anayeweza kunisaidia kujua bei na wapi naweza kupata tunguu swaumu anieleze. Nahitaji mzigo mkubwa. Asante
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mambo zenu? Naombeni ushauri sina kipato kikubwa ila sijafika ml.1 ila napenda biashara gani ni nzuri kuifanya kwa mtaji mdogo?
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari wana jf Nilikuomba naomba kujua machimbo yanapopatikana mapochi/ handbag za mtumba ambazo ni quality grade one ili nikajumie nianze biashara Msaada please
0 Reactions
8 Replies
7K Views
Leo kuanzia saa 2:00 usiku hadi saa 4:00 usiku kutakuwa na mafunzo ya biashara ya vipodozi kwa watu ambao wanaipenda biashara hii na wanafikiria kuifanya.Utajifunza taratibu za kufuata kisheria...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
I’m looking for Managing Partner for a Logistics Company. The Company is one year old and have done number of Project with Various Organization now we have acquired New Project and wish to have...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau mwenye uwezo wa kutoa mkopo kwa masharti nafuu ani-pm ili tufanye biashara kwa kifupi mimi ni mkandarasi.
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Wadau Azam ni kwangu tuu au?hebu msaada Siwaelewi hawa Azam.
0 Reactions
6 Replies
4K Views
https://photos.app.goo.gl/WZQL8XVxjz6d1BSp8
0 Reactions
0 Replies
3K Views
sis ni mawakala wa bima za aina zote, tukiudumia bima kutoka makampuni yote ya nchi nzima 1. magari na pikipiki 2. bima za afya 3. bima za moto 4. bima za wizi 5.bima za mizigo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Picha inajieleza hapo,nakupa na remote zake zikiwa nzima kabisa,kama unahitaji njoo pm chapu,...nauza vyote kwa 430k....
2 Reactions
27 Replies
8K Views
Mashine ya kukamulia juice ya miwa inauzwa ni ya umeme,ina roller mbili,ipo na kibanda chake kabisa,ni Tsh 2,000,000....bei inaongeleka,mashine ipo DAR ES SALAAM,SALASALA kwa mawasiliano 0693208482
0 Reactions
7 Replies
7K Views
*OPTIMAL FIRMING LOTION* Page 31 code 31314 [emoji830]Hii ni seti nyingine ya optimals body ambayo hutumika kwa ajili ya ku tight mahali ambapo kuna nyama za uzembe./nyama zilizotepeta...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tuungane ili Tufanikiwe Katika hili! Natafuta makampuni au taasisi mbalimbali zitakazokuwa tayari kudhamini project hii niliyoandaa ya biashara na habari. SageWap ni website itakayofanya kazi...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
On sale
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Hanari za leo wakuu! Kama kichwa kinavyosema hapo juu, naombeni msaada kwa yeyote anayejua anisaidie kunipa taarifa ya gharama za kusafirisha ng'ombe kutoka maeneo ya Karagwe, Mwanza, Shinyanga...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Back
Top Bottom