Msaada wa kufahamu au kupata elimu juu ya swala zima la uwekezaji kwenye hizi Saccos

jay sam

New Member
Apr 13, 2018
4
0
Mm ni kijana mwenye umri wa miaka 26 najishugulisha na Maswala ya IT zaidi, naningependa kufahamu au kupata elimu juu ya swala zima la uwekezaji kwenye hizi Saccos zetu hapa Tanzania.
 
Back
Top Bottom