Shared Economy Business Model, "Not having enough, does not mean we have nothing"

Status
Not open for further replies.

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Jun 4, 2011
7,789
8,914
Dunia kwa sasa imebadilika mno kiasi kwamba mtu asipo kiwa makini atajikuta nje ya wakati.

SHARED ECONOMY ni model mpya kabisa kwenye Biashara na ndo kwanza inashika kasi.

Hii ni Model inayo elekea kuondoa Model ya zamani ambayo ili uanzishe biashara ilikuwa lazima uwe na mtaji mkubwa sana.

Kwenye Model hii watu wana share what they have.

Mfano.

Ubber wale jamaa wa Usafifi wanatumia huu mfumo.

Wao hata Offisi wanaweza kuwa hawana ila wanapiga pesa kupitia shared Economy model.

Kuna pia Kampuni moja inayo jihusisha na Wageni nao pia wanatumia huu mfumo.

Huu ni mfumo ambao wewe ukiwa.na Idea tu basi unapiga kazi kupitia shared economy business Model.

MFANO.

Wewe unaweza kuwa na Idea ya Usafirishaji wa Vifurushi.

Ila huna Gari na cha kufanya unaanzisha kampuni yako na kuanza kutumia watu wenye magari binafisi.

Kama mtu anatokea Dar kwenda Morogoro basi anaweza beba vifurushi vya Morogoro na akapata % yake.

Kama mtu ana Gari anatokea Mbeya kwenda Mwanza basi atabeba vifurushi vya kutokea Mbeya kwenda Mwanza na kupata % yake.

Kuna IDEA nyingi sana kwenye SHARED ECONOMY BUSINESS MODEL.


Not having enough does not means we have nothing.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom