Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Katika vitu vinawatatiza wa mama wengi mtaani ni kupata shuguli itakayowaingizia kipato cha kutosha. Na kila wanapofikiria wazo la kuanzisha biashara basi wanakwazwa na ughali wa mtaji...
1 Reactions
2 Replies
4K Views
Habari za Mchana wadau. Msaada wenu, nina milioni15 niko Dar es salaam nataka kuanzisha duka la kuuza vifaa vya umeme pamoja na plumbing naomba kujua vifaa gani vinatoka sana pamoja na changamoto...
2 Reactions
3 Replies
6K Views
Habar zenu wadau ....Mimi n mfanyabiashara mwenye vibali vya uvunaji na usafirishaji mazao ya misitu kutoka maliasili yan kuni . Ikiwa unahtaj kuanza biashara hii yenye faida kubwa (japo wengi...
1 Reactions
40 Replies
19K Views
Shirika la Posta Tanzania kwa kushirikiana na TanTrade wametoa Mafunzo ya Mifumo ya Biashara mtandaoni kwa Wafanya Biashara pamoja na Viongozi wa Taasisi mbalimbali za Kibiashara Visiwani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
LUANDA - The Secretary-General of the African Continental Free Trade Area (AfCFTA), Wamkele Mene, said on Monday that Africa will soon have a new trading standard with the development of the...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Haki ya mteja kufahamishwa kuhusu huduma au bidhaa inatambulika na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania(TCRA). Baadhi ya watu wanaotumia mtandao kutangaza huduma au bidhaa wamekuwa wakishindwa kuipa...
0 Reactions
0 Replies
952 Views
Wakuu nilikuwa naomba kujua kuwa Bei ya unit moja ya maji kwa Dar es Salaam ni kiasi gani? DAWASCO Natanguliza shukurani nyingi
1 Reactions
29 Replies
39K Views
Nataka nianze biashara ya kuuza kuku wa kienyeji, kuwatoa mikoa tofauti tofauti na kuwauza Dar es salaam. Naomba mnipe mbinu mbali mbali za kufanya biashara hii, haswa upande wa masoko, na bei ya...
2 Reactions
13 Replies
4K Views
Wakuu ni wapi naweza pata mihuri ya Expire Date? Naihitaji sana mwenye link anisaidie. Asante sana
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Niliagiza kifaa fulani huko Aliexpress 10/10/2020. Niliambiwa nitarajie kupata kifaa hicho kati ya Novemba 2-Desemba 2. Mpaka sasa naona kimya. Uliwahi kuwa katika hali hii? Ulifanyaje?
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Nchi zote duniani sekta hii inahesimika katika mchango wao katika jamii. Hii picha ni mpangilio wa wamachinga wanavyopewa frame za biashara na Halmashauri za miji. Hapa mmachinga anafanya...
0 Reactions
1 Replies
989 Views
Hili ni swali ambalo watu wengi sana huuliza Mara kwa Mara. Kutoka na tabia ya soko la bitcoin ,grafu za bei ya bitcoin inatuonyesha kwamba ,bei ya bitcoin ina vipi vyake au majira yake...
0 Reactions
2 Replies
938 Views
Wakuu asalaam, Leo nimeona nilete mawazo yangu hapa kwa ushauri na maoni na zaidi kupata connection kwa wazoefu. Nimepanga mwaka 2021 nianze kwa biashara ya kukodisha vifaa vya harusi kuanzia...
2 Reactions
9 Replies
7K Views
Naona bitcoin 1=6,600$ kwa sasa na inazidi kupanda tu aisee hii ni pesa ya kununua. Kuna nchi moja ulaya inajiandaa na kuachana na matumizi kabisa ya pesa za makaratasi na coin wanataka wahamie...
9 Reactions
45 Replies
7K Views
Habari za jioni, Kichwa cha habari kinahusika kwa wale wanaoangalia ulimwengu wa mabadiliko ya maswala ya fedha wanakubaliana nami kuwa bitcoin imefanya maajabu katika mwaka huu wa 2017 na kuwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
🏃‍♂️ HATUA YA 2 YA BIASHARA ✍🏿 karibu msomaji baada ya kuangalia mbiniza kukufanya wewe uwe na wazo zuri la kibiashara naimani mpka sasa una uwezo wa kuwa na wazo zuri la kibiashara. 🔽 Hatua ya...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Biashara yoyote huweza kutumia mtandao kupata wateja. Wanaotangaza biashara mtandaoni wanapaswa kutambua Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania(TCRA) inaambua haki ya faragha ya mlaji Faragha ni pamoja...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habar wadau Shida kubwa ilio ikumba serikal yetu ni viongoz kua wavivu na kupelekea kutafuta njia Rahisi za kukusanya kodi na kuacha kusimamia zile za awali kwa Nidham ya kazi mfano Tannesko...
1 Reactions
4 Replies
692 Views
Natumai mu wazima wenye afya dhumuni langu ni kutaka kunisaidia juu ya kutengeneza kiwanda kidogo cha kuzalisha bidhaa za plastic kama vikombe,mabakuli,beseni,hotpot,majagi na nk lengo langu ni...
4 Reactions
33 Replies
16K Views
Habari za leo ndugu,natumaini u mzima. Aisee kwa mimi kufanya biashara kipindi hiki naona ngumu sana tofauti na tulivyodhania kwamba pesa itaonekana mtaani, jambo lililopo ni pesa inaonekana ila...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom