maliselo22
Member
- May 18, 2017
- 72
- 52
Hili ni swali ambalo watu wengi sana huuliza Mara kwa Mara.
Kutoka na tabia ya soko la bitcoin ,grafu za bei ya bitcoin inatuonyesha kwamba ,bei ya bitcoin ina vipi vyake au majira yake. Kitaalamu tunaita seasonality
MIGAWANYIKO YA VIPINDI
1.Kipindi cha kudorola kwa bei(bearish) mwezi wa sita hadi wa Tisa
2.Kipindi cha kupanda kwa bei(bullish)mwezi wa Tisa hadi wa kumi na mbili
3.Kipindi cha kupanda na kushuka kwa bei (up & down) mwezi wa kumi na mbili hadi wa sita.
USHAURI
UNAWEZA KUNUNUA BITCOIN KUTOKANA NA VIPINDI HIVYO.PIA NI VEMA KUFANYA UWEKEZAJI KWA KIPINDI CHA MUDA MREFU.
(LONG-TERM INVESTOR)
TAHADHARI
ZINGATIA, USHAURI WANGU SIO SAHIHI KWA ASILIMIA 100.HIVYO BASI UNAWEZA KUFANYIA KAZI KWA ASILIMIA 50 KWA 50.
ASANTENI.
BY GRANDPOW.[emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app