Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

✍ KWA NINI HUJAFANIKIWA‼️ 💧 Kwanza tambua jambo 1 mungu hawezi kukutoa hapo ulipo mpka akupe elimu ya kule unapo taka kwenda ( kila elimu inalipiwa ) Mfano: Kama wahitaji kufanikiwa...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
MBINU ZA KUJIAJILI KWA WANACHUO NA KUAJILI WENGINE Njia Bora na rahisi kwa VIJANA waliokosa ajira na wamemaliza vyuo vikuu au vyuo vya Kati KUJIAJILI Nchini Tanzania ajira imekua...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Huu ni uzi maalum wa kila mwenye wazo au chanzo kipya cha mapato kwa ajili ya serikali yetu ambacho hakitasumbua wala kuumiza watu. Maana hii kazi inabidi iwe ya Watanzania wote na inabidi uwe...
5 Reactions
23 Replies
3K Views
Ni biashara gani naweza kutoa huku bagamoyo kwenda kuuza dar!! Au nikatoa dar kupeleka dar?
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Siku chache zilizopita limekuwa na sintofahamu juu ya mabadiliko ya viwango vya miamala katika mitandao yote nchini, kupanda kwa miamala ya kutuma hela na kutoa hela Jambo ambalo linaendelea...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Je kuna vifaa tiba unatafuta bila mafanikio Nambie nikusaidie
0 Reactions
2 Replies
641 Views
hivi kwanini kila serekali inapo zungumzia kuhusu COVID-19 aidha idadi ya wagonjwa, au kuhusu chanjo au kuchukua tahadhari, basi watu wanakuja na hoja za "wanaipigia debe COVID-19 ili wapate...
0 Reactions
1 Replies
550 Views
  • Closed
Hello business personels Naomba kujua as per heading above, biashara ipi ambayo naweza kuingiza kiasi cha faida zaidi ya milioni 100 hadi 500 kwa mwez, kwa wiki au kwa siku.. Haijalishi mtaji...
17 Reactions
463 Replies
110K Views
Wakuu. Tanzania na Uganda zimesaini mkataba wa mwisho kuanza ujenzi wa bomba la mafuta kutoka Hoima nchini Uganda hadi Chongoleani bandari ya Tanga nchini Tanzania . Ni heshima Kubwa nchi yetu...
3 Reactions
24 Replies
8K Views
GAS UTILIZATION OPTIONS AND DEMAND FORECAST IN TANZANIA. Natural Gas (Pure Methane, CH4) can be used for; - Domestic Natural Gas Utilization Options. Industrial Application as an Alternative...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
“Akufukuzaye hakwambii toka”, ni msemo wa kiswahili wenye maana kuwa ujumbe unaweza kuwasilishwa kwa njia moja ukimaanisha kitu kingine tofauti. Mfano ukienda kumtembelea rafiki yako akakulaza...
0 Reactions
1 Replies
847 Views
Teknologia imeongezeka kwa sasa hivi watu wanatumia pikipiki za umeme na magari ya umeme, kwa sheria za tanzania hivyo sio vyombo vya moto hivyo havina bima wala hahutaji leseni kuviendesha ni...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari wanajamvi, Kwa wale tunaofanya kazi mtandaoni, what's the best way kutransfer hela from Wise kuja Mpesa/Tigopesa? Kuna rafiki yangu kaniambia Mpesa ni dakika 30, sasa bank transfer...
1 Reactions
4 Replies
4K Views
Mhitimu wa chuo kikuu ni mtu mwenye elimu ya juu kulinganisha na sehemu kubwa ya jamii. Hawa watu wanakitu cha kipekee japo wengi wao wamefumba. Sasa haya ndio mambo makuu,ya kukusaidia ujitambue...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Vodacom Tanzania imetoa tathmini ya mapato ya na kushuhudia ongezeko la wastani wa asilimia 6 kabla ya makato ya kodi. My Take: Biashara zinaendelea kuimarika zikiambatana na ubunifu. Wale...
1 Reactions
33 Replies
3K Views
kutokana na tozo za kodi ya miamala, kampuni ya ttcl tozo yao, ni tafauti na makampuni menginine ya simu.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hatimae bei za vitu zaendelea kutupa wakati mgumu. Biashara haziendi,kodi zimepanda, faida hazionekani, anayejua nn cha kufanya ili faida ipatikane kwa sisi wenye mitaji kidogo. Naombeni ushauri
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Zifahamu Biashara Zinazolipa Zaidi Mtandaoni. Biashara hizi pia zinakuja na changamoto zake hivyo ni vizuri kuchagua unayoiweza Linapokuja swala la biashara mtandaoni ni wazi kuwa kila mtu ana...
6 Reactions
17 Replies
4K Views
Tuijue gharama ya Ujenzi wa Bomba la Gesi kutoka Mtwara kuja Dar es salaam. Tukimaliza hapo, tuanze kuelewa kwanini Gesi tunaipeleka Kenya. Gharama za mradi ni Dola za Marekani 1,225,327,000...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
I have two questions about tax audit 1. Stage of conduct tax audit 2. Stage of conduct desk tax audit Welcome for any one to reply the possible solutions to those two questions
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom