Matatizo ya Viongozi wavivu yametuleta kwenye Kodi zisizo na Maana

abdulhamis

JF-Expert Member
Aug 2, 2019
1,436
2,292
Habar wadau
Shida kubwa ilio ikumba serikal yetu ni viongoz kua wavivu na kupelekea kutafuta njia Rahisi za kukusanya kodi na kuacha kusimamia zile za awali kwa Nidham ya kazi mfano

Tannesko Tanzania Kuna watu Zaid ya MA Milion wanasubir kupelekea huduma za umeme bila mafanikio yoyote Tena watu ambao wangepelekewa umeme wangeweza kuchangia serikal kila Wana nunua kuku

Tanesko wamekua hawajal kabisa mfano mimi Mwenyewe Nina nyumba yangu Ina miezi 2 Sasa sijapewa hata control number nikalipie Ile 27 yao

Pili serikal ingeimiza uzalendo wa kudai Risit kama mwanzo ili kuakikisha wafanya biashara hawakwep kodi kipindi cha Magufuli TRA walikua bize kutoa Elim ya kudai risit kukusanya kodi na kuwabana wezi wote walio kua wanajaribu kupitia mlango wa nyuma

Na mambo mengine mengi serikal ili iparform vizur ijitasmin Tena mawazir wasiwe watembezi tu Bali wawe wafanya kazi Waache kutuambia tuhamie Burundi kisa hela zetu wenyewe wao wanakua wakal kwenye hela zetu sisi tukishika zao kelele za uhujum uchum na kufungwa zinakua nyingi
 
Mkuu umeanza vizuri kweli hao wa bunge wetu hawataki kuumiza vichwa kwa ajiri ya kubuni vyanzo vya mapato vipya, wanategemea simple en Easy taxes, ambazo ni kuumiza mtu wa chini. Ila uko kwote tumefikishwa na huyu jama ako Magufuli, kwa kuuanzisha miradi mikubwa mingi wakati kipato akijaongezeke, mwishowe alianza kubuni vyazo vya ajabu, kama vitamburusho vya wa machinga, kupora burue de change, kupora account za watu za benki kubabikia watu kesi ili walipe findia kwenye pre bargaining nk. Jpm ndo chanzo cha haya yote.
 
Hii ya kupora wakwepa Kodi haina shida ila kam ni miongoni mwao itakupa shida.
Watu wamekuwa wezi mno hao unawasema walibambikwa kesi kama walionewa washtaki sasa. Ushahidi wa kukwepa TRA wanao. Sasa ukimuachia mfanyabiashara aliyekwepa kodi let say 500mil, inabidi ukompaseti miamala mingapi ya wanarusha hela kwenye simu?
Watu wamepiga hela za Escrow halafu wakibanwa tuseme wamebambikiwa kesi, sio kweli.
Kujipendekeza kwa wakwepa kodi kutalzimisha walala hoi wakompaseti tu.

Kuhusu miradi nitashangaa ulitaka ianze lini?
Leo barabara ya kibaha unaona inavyopunguza gharama za kukaa barabarani muda mwingi.
Na bado sasa haijaisha.
Acha kuwa futurism
 
Pamoja na kufanya unyama kama huo still uchumi ulimshindaakawa amebakia kutumia propaganda kuaminisha wananchi kwamba uchumi unakua, jpm alitumia approach za ukatili kukusanya mapota ndo madhara mama anauo pata kwasasa
 
Habar wadau
Shida kubwa ilio ikumba serikal yetu ni viongoz kua wavivu na kupelekea kutafuta njia Rahisi za kukusanya kodi na kuacha kusimamia zile za awali kwa Nidham ya kazi mfano

Tannesko Tanzania Kuna watu Zaid ya MA Milion wanasubir kupelekea huduma za umeme bila mafanikio yoyote Tena watu ambao wangepelekewa umeme wangeweza kuchangia serikal kila Wana nunua kuku

Tanesko wamekua hawajal kabisa mfano mimi Mwenyewe Nina nyumba yangu Ina miezi 2 Sasa sijapewa hata control number nikalipie Ile 27 yao

Pili serikal ingeimiza uzalendo wa kudai Risit kama mwanzo ili kuakikisha wafanya biashara hawakwep kodi kipindi cha Magufuli TRA walikua bize kutoa Elim ya kudai risit kukusanya kodi na kuwabana wezi wote walio kua wanajaribu kupitia mlango wa nyuma

Na mambo mengine mengi serikal ili iparform vizur ijitasmin Tena mawazir wasiwe watembezi tu Bali wawe wafanya kazi Waache kutuambia tuhamie Burundi kisa hela zetu wenyewe wao wanakua wakal kwenye hela zetu sisi tukishika zao kelele za uhujum uchum na kufungwa zinakua nyingi
Iko hivi hata katika jamii ya kawaida jamii itaona umuhimu wa kufanya jambo kama anayehimiza jambo kufanyika ataonyesha dhamira iliyo njema Bila unafiki,upendeleo wala hila,kinyume chake ni kuhujumu dhamira yake mwenyewe.
 
Back
Top Bottom