Mihuri ya kuweka Expire Date kwenye product

Mihuri ya kuweka Expire Date kwenye product

MURUSI

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2013
Posts
4,574
Reaction score
8,908
Wakuu ni wapi naweza pata mihuri ya Expire Date? Naihitaji sana mwenye link anisaidie.

Asante sana
 
Wakuu ni wapi naweza pata mihuri ya Expire Date? Naihitaji sana mwenye link anisaidie.

Asante sana
Nikumbushe kesho Kuna sehem niliandika namba zake

Alisema yupo mwenge nadhani

Namba yangu 0769922210 nitext kesho nikuangalizie
 
Nikumbushe kesho Kuna sehem niliandika namba zake

Alisema yupo mwenge nadhani

Namba yangu 0769922210 nitext kesho nikuangalizie
Siyo ustaarabu kuweka namba yako wazi namna hii. Ungemfuata PM huko ukampa. Ni ushauri tu lakini...
 
Suala la kuweka namba public ni hiyari ya mtu,kuna wanaojali na wasiojali.Ungemshauri tu madhara ya kuweka namba hadharani lakini sio kumwambia sio ustaarabu.
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Back
Top Bottom