Bei ya unit moja ya maji kwa Dar es Salaam

mchonga

JF-Expert Member
Dec 3, 2006
1,233
248
Wakuu nilikuwa naomba kujua kuwa Bei ya unit moja ya maji kwa Dar es Salaam ni kiasi gani?
DAWASCO
Natanguliza shukurani nyingi
 
024fd97689ae421fde26501996dc19a2.jpg
 
huko DSM mkisema DAWASCO! Mnamaanisha vazi la aina gani? Au ni matunda mapya?
Hahahahaha...:):):), cha kushangaza kwa upande wangu, ni pale wanapozinduwa visima vya maji, kutunisha vifuwa na tabasamu kubwa sana! Kama vile maji yanatirika bafuni au jikoni kwako! Wao yakitoka nje na ukachota kwa ndoo mchezo umeisha! TZ bado safari ndefu, DAWASCO wanatunyima haki zetu waziwazi kabisa..
 
Bado maji yanayosambazwa na dawasco nighali sana mfano mkoani kigoma nyumba inawapangaji zaidi yafamilia 4 lakini Bado bili yamaji ikija wanachangia kila familia 2500 kwamana ni elfu10 tu kwa mwenzi nyumba nzima wakati kwa hapa Dar hiyo elfu10 ni yampangaji wa chumba kimoja tu
 
Wenye nyumba wanataka kupatia faida humo humo....ukiishi kwenye nyumba yako...gharama zisizo rasmi unaziepuka
 
BEI NI 1663 KWA LITA SAWA NA DUMU KUMI ZA MAJI SAWA NA TANK LA LITA 1000 MKUU, DAWASKO WAKO Vizuri na sasa wanajitahidi kuwahudumia wananchi kwa kiwango sahihi kupitia. ISO.
 
Back
Top Bottom