Hatimaye Bitcoin imefika consolidation mode

Nyumbalao

JF-Expert Member
Jan 10, 2014
489
518
Habari za jioni,
Kichwa cha habari kinahusika kwa wale wanaoangalia ulimwengu wa mabadiliko ya maswala ya fedha wanakubaliana nami kuwa bitcoin imefanya maajabu katika mwaka huu wa 2017 na kuwa kitu cha majadiliano ya umma. Ila kwa siku tatu kwa wale wataalamu wa Technical analysis wameshaona kuwa imeanza kuwa dhaifu ile kasi ya kuendelea kwenda juu imepungua na hii ni hali ya kawaida katika masoko haya. Mara nyingi inasababishwa na watu kuchukua faida mwisho wa mwaka na vilevile kuondoa wale ambao wanawekeza kwa bahati nasibu au speculator. Ila kwa udhaifu huu ukiwa unapanga kuingia sokoni sasa ni vyema ukajua wakati huu ni ule wa kurudi nyuma kabla haijaanza kupanda juu kwahiyo chukua taadhari ya hali ya juu. Angalia grafu kwa mwelekeo.
Bitcoin graph.JPG
 
Hakika imefika resistance ya kwanza kwenye safari ya $ 30,000/ ila sasa kwa wale wanaoingia sasa ni bora kushort kuliko kwenda long kwa muda huu ili kupata faida. Wataalamu wengi wanaamini itafika $30,000/ by end of mwakani ila kwa sasa tunaweza kuiona ikifika $10,000 au hata chini kidogo kabla ya safari hiyo hayo ni maoni yangu.

Huenda imeshaifikia resistance, haitabaki buy daima
 
Hakika imefika resistance ya kwanza kwenye safari ya $ 30,000/ ila sasa kwa wale wanaoingia sasa ni bora kushort kuliko kwenda long kwa muda huu ili kupata faida. Wataalamu wengi wanaamini itafika $30,000/ by end of mwakani ila kwa sasa tunaweza kuiona ikifika $10,000 au hata chini kidogo kabla ya safari hiyo hayo ni maoni yangu.
Mkuu maoni yako yalikua sahihi kabisa
 
Back
Top Bottom