Wakuu baada ya Bw. Kinana yule kinara wa kusimamia kampeni za chama fisadi CCM kuibuka na risiti feki inayoonyesha USD 15,000/= ????? walizolipia ndege ya mama aliyemua kumpigia mumewe kampeni...
Zain Tanzania today announced another reduction in prices.
From now, Zain clients can make calls to other networks (local) at Tshs 3/= per second 24/7 while enjoying the 1 Tsh per second on Zain...
WAKATI baadhi ya wahisani wakiwa wametangaza kupunguza fedha za kusaidia bajeti ya serikali, Uingereza imetangaza kutoa Sh230 bilioni kwa ajili hiyo katika kipindi cha mwaka 2010/11.
Hayo...
Habari wana Jf!
Mimi nina kampuni ipo registered kabisa kwa kila kitu, i mean brela, halmashauri na TRA. Nina kajimtaji kadoooodo sana , nilianza na laki nane kwa kuuza komputer kutoka Dar...
MTANZANIA KIUMBE WA AJABU SANA!
MAPATO YANATUMIKA ATI KUSUTIA WAMBEYA - kipindi maarufu cha redio clouds "LEO tena"kimeleta "LIVE" hekaheka za watu wazima OVYOOOOO kwenda kuposa, kulipia mahari...
13th September 2010
The Bank of Tanzania (BoT) is in a process of changing the approach used in calculating inflation, whereby food will not be the main economic determinant as is presently...
Wadau mimi , napenda sana kufanya kazi, bank ila nasikia kuna baadhi za bank zinalipa mshahara mdogo kuliko hata wa mwalimu wa shule za serikali.Naomba kama mtu analifahamu hili anifahamishe ili...
16th September 2010
Chama Cha Mapinduzi (CCM) presidential candidate Jakaya Kikwete has promised to double capital set aside for the Farmers Bank in case of any delay.
Kikwete told a campaign...
E bwana nimefika kilindi wilaya mpya mkoa wa tanga, wilaya hii inaendelea kwa kasi ya ajabu nawashauri wajasiliamali wafike kuangalia opportunities, ardhi yao ni bomba mbaya wanalima na hawatumoii...
Matajiri wakubwa duniani, Carlos Slim Helu na Warren Buffett wanaishi kwenye nyumba walizozinunua miaka 40 na kitu iliyopita wakati walipokuwa siyo matajiri kama walivyo sasa. Soma hiki kipande...
By: Kayla Webley
Sept 16, 2010
Nearly half of the lowest earners among us want the rich to stay rich.
As Congress debates whether to extend the Bush-era tax cuts, a new Associated Press-GfK...
I&M bank ya kenya na michael shirima wa precion airways wamenunua CF union bank.
hawa I&M bank ni wazuri kwenye mikopo ya nyumba mortgage.
kila la kheri shirima
From MGAYA KINGOBA in Korogwe, 13th September 2010 @ 16:00, Total Comments: 0, Hits: 197
SISAL farms that have not been developed will not be nationalized, CCM Union Presidential candidate...
Do you work for Google or you have been awarded a tender by Google Inc.?
If you are in Africa,you will no longer be paid in US Dollars.From this March,Google is paying its employees in Africa in...
Tanzania August inflation rises to 6.6 pct
Wed Sep 15, 2010
DAR ES SALAAM, Sept 15 (Reuters) - Tanzania's year-on-year inflation rate TZCPIY=ECI rose to 6.6 percent in August from 6.3 percent in...
Hawa Vodacom wanajifanya wezi sana mara nyingi tu utakuta ukituma SMS its not delivered inakaa pending kwenye server zao afu wewe mtumaji hupati delivery confirmation then ukijaribu to re-send the...
Jana katika uzinduzi wa kampeni za NCCR-mageuzi imethibitisha bank mojawapo kujihusisha na siasa za kawe hii inatokana na Mkurugenzi wake kuwa na maslahi katika jimbo hilo na wanatumia branch ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.