Source: Maine's L.L.Beans (US)
A customer is the most important person ever in this office...in personal or by mail
A customer is not dependent on us... we are dependent on him.
A customer is...
hee mazee, mambo ni vipi?
Tell me nina kajiofisi kangu kadogo,i mean kaduka.nina register ya yenye orodha ya bidhaa zangu zote zilizopo.na mwisho wa siku kupitia kitabu changu cha risiti naanza...
KAMPUNI ya bia ya Tanzania Breweries Limited [TBL] imepigwa faini ya shilingi bilioni 518 kwa kukiuka na kuvuruga ushindani wa kibiashara nchiniHatua hiyo imechukuliwa na Tume ya Ushindani ya...
this is very good news kwa wanaopenda maendeleo,i didnt know serikali kimy kimya kumbe walibadilisha electricity act 2008 and reverse Tanesco monopoly,its a good start lakini still kuna mengi ya...
Nimemsikia lipumba anasema watanzania walioajiriwa
kwenye sekta ya viwanda ni elfu 62 tu.......
Nimebaki mdomo wazi........
Ndo maana serikali ina nguvu sana.....
Serikali ndo muajiri mkuu wa...
Pengine wewe ni mwenzangu ktkt waajiriwa
ni vyema kama muajiri ujue haki a ko ya msingi\
usikubali muajiri akunyanyase ama kukuchezea kama mpira wa kona
hali ukijua haki zako za msingi ambazo...
wadau nina leseni ya kuchimba madini "mining license" katika kitalu changu cha madini, natafuta muwekezaji ambaye nitaingia nae ubia, na kama ana dau la kutosha mi namwachia kitalu cha madini...
Ndugu wapata kinywaji, nimekuwa mtumiaji wa tusker beer kwa miaka mingi sasa, lakini tangu zitoke hizi tusker za sbl zimenishinda, zina harufu na taste tofauti na hangover yake ni balaa tofauti na...
Ndugu wapata kinywaji, nimekuwa mtumiaji wa Tusker beer kwa miaka mingi sasa, lakini tangu zitoke hizi Tusker za SBL zimenishinda, zina harufu na taste tofauti na hangover yake ni balaa tofauti na...
By: Reuters
Tanzania's economy should grow 6.3 percent this year and 6.8 percent in 2011, thanks to robust activity in all sectors, while inflation will stay in single digits through to 2011...
Wana JF kwa wale ambao wanafuatilia habari za kiabiashara watakubaliana na mie kuwa fedha ya kijapan (Yen) Imekuwa na nguvu hasa ukilinganisha na US dollar kwa muda mrefu sasa. Pia ukiangalia Tsh...
Najua inategemea frame yenyewe ilivyo,,mahari ilipo na vitu vinginevyo,,kwa kuzingatia hayo naomba kwa wale wenye kujua hili tushirikiane,,maana hivi ndivyo tunavyoendelea kupanua uwanda wa...
Jamani wana JF
Kuanzia Mwezi wa saba rate ya TRA ya ku inflate Bei za magari Kutoka Nje ili Mhusika alipe kodi kubwa imepanda kwa kasi sana.
Hivi kama nina TT form niliyojaza kuagizia Gari na...
Wapendwa si haba kupeana update kuna fair nzuri zimekuja kwenye ndege yetu hii yenye safari za hapo juu na nyingine nyingi ukiwa kama msafiri wa sehemu hizo na kwingineko piga
2122402/2122303...
wakuu nimeshuhudia mkasa mmoja ambao umenisukuma kuja kuuleta hapa jamvini ili tuweze kuelimishana. Nina mshkaji wangu mmoja alinunua gari kwa jamaa sasa ameichoka akaamua kuiuza. katika kutafuta...
Mtu yeyote mwenye kujua process nzima ya kusajili microfinance binafsi anisaidie.
Kama huna cha kuchangia nakuomba uisome thread ili ufaidike na michango endelevu ya wadau wanaoifahau process...
Kuna taarifa inayoelezea hawa majamaa kampuni la mawasiliano Hits-Tanzania
limerudi baada ya kubaniwa na TCRA na kukwama kutokana na mfulio wa uchumi
wa dunia linataka ku-resume sercive zake...
Jambo wandugu, nina kampuni ya ujenza Class VII. Imesajiliwa na ina leseni zote lakini kwa bahati mbaya haipati kazi kwa sababu mbalimbali. Natafuta mtu ambaye ana uwezo wa kupata kazi lakini hana...
Wakuu salamu zangu kwenu:
Nimekuwa na wafanyakazi kadhaa katika biashara ambao kitu kikubwa cha kukosana nao ni kutokuwepo kwa uaminifu katika pesa,,si mimi tu ila watu wengi sana wamewafukuza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.