Ng'ombe amekula mfuko wa uzazi, nifanyeje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ng'ombe amekula mfuko wa uzazi, nifanyeje?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Mgombezi, Apr 6, 2009.

 1. Mgombezi

  Mgombezi JF-Expert Member

  #1
  Apr 6, 2009
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 630
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Wana JF, mimi ni mfugaji na ng'ombe wangu amezaa jana alifajiri lakini nikamkuta amekula sehemu ya mfuko wa uzazi, kwa ufahamu wangu naelewa hilo huleta matatizo katika uzalishaji wa maziwa. Kama una mawazo (idea) nifanye nini, naomba ushauri wako.
   
Loading...