Alpha Dry Cleaner-Mlimani City! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Alpha Dry Cleaner-Mlimani City!

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Tusker Bariiiidi, Mar 15, 2009.

 1. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #1
  Mar 15, 2009
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Nikiwa mteja wa muda mrefu wa Alpha Dry cleaner,nilifurahia sana kitendo cha kwao kutuletea/kutusogezea huduma karibu kwa kufungua duka /Outlet mpya Mlimani City Mall na kama mnavyofahamu karibu huduma zote zinazopatikana hapo karibu asilimia 97 zinafunguliwa siku zote saba za wiki mfano ni benki za NBC,NMB,CRDB,TWIGA na EXIM pia maduka ya kampuni za simu kama ZAIN,TIGO na VODACOM yanatoa huduma zake siku zote iwe sikukuu au wikiendi lakini mimi nimesikitishwa na kitendo chao Alpha Dry Cleaner kufungua duka lao mfano kuanzia saa 3 asubuhi mpaka saa 12 jioni kwa siku za wiki na jumamosi saa 3 asubuhi mpaka saa 9 mchana!! na kufungwa siku za Jumapili na siku za sikukuu!!! sasa mimi sijaelewa umuhimu wa wao kuleta duka hilo hapo Mlimani city na kujaza eneo ambalo lingeweza kuongeza ufanisi wa kupatikana huduma nyingine ambazo zinamfanya mteja azifuate katikati ya jiji. Tafadhali uongozi wa Alpha Dry Cleaner uliangalie hilo... NAWASILISHA!!
   
 2. Mutensa

  Mutensa JF-Expert Member

  #2
  Mar 30, 2009
  Joined: Feb 20, 2009
  Messages: 426
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Tusker,
  nakuunga mkono. Lakini yaelekea hawa jamaa wa Alpha hawana hata access ya kusoma JF vinginevyo wangelishughulikia hili katika wakati huu wa competition. Nafikiri tufuatilie email yao tuwajulishe kwanza kuwa kuna mtandao maridhawa wa JF, na pili juu ya kuboresha huduma zao haswa katika suala hilo la muda ambao wako wazi.
   
 3. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #3
  Mar 30, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,804
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Nimeshapotelewa na SUTI yangu hapo - they just lack seriousness! It seems wale wafanyakazi wa front-desk ni wadogo zake mweye Alpha!
   
 4. M

  Mwikimbi JF-Expert Member

  #4
  Mar 30, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,745
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  alpha dry cleaners na alpha internet za lowasa, inaonekana zinakaribia kufilisika au kukosa seriosness kama ilivyoandkikwa hapo juu, hata ile internet ya mjini ppf tower buree kabisa
   
 5. M

  Mfumwa JF-Expert Member

  #5
  Mar 30, 2009
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 1,456
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Kwa kuwa ni mteja wao ulitakiwa kuwafikishia hili wao wenyewe, ingekuwa bora zaidi. Lakini kwa vyovyote kulileta hapa hata kama hawaingii JF umewasaidia, kwa wale waliokuwa hawajui kuna dry cleaner Mlimani City sasa wanajua.
   
 6. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #6
  Mar 30, 2009
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ...Mh!! Hata huu ujasilia mali wa kufua nguo nao Ex-PM naye yumo???? I don't believe my legs!!!
   
 7. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #7
  Mar 30, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Yaani sifadi bwana kawekeza kila idara hata zile ambazo sio size yake rancho zote za taifa zake , dili la richmond lake sijui nini chake
   
 8. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #8
  Mar 30, 2009
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ...Mh!! Hata huu ujasilia mali wa kufua nguo nao Ex-PM naye yumo???? I don't believe my legs!!!
   
 9. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #9
  Mar 30, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...nadhani hiyo biashara alikuwa nayo kabla hata ya U-pm.
   
 10. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #10
  Mar 30, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Wanatoa huduma za massage?
   
 11. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #11
  Mar 30, 2009
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Nimejitahidi sana kuwaambia lakini nadhani wananiambia watawaambia wahusika...Ila inaonyesha hata wao wanafurahia sana kutoka mapema... Mwenye number ya Mama Lowassa pleaseeeee...
   
 12. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #12
  Mar 30, 2009
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 476
  Trophy Points: 180
  Tusker Baridiiii!
  Ulichokisema kuhusu hiyo dry cleaner ni kweli kabisa,full matatizo halafu watu wanafanya biashara kama hawataki yaani mteja ndo unalazimisha. Pia kwa kukosea nguo za wateja wao hawajambo kabisa.
  Mwaka jana nilienda hapo na nguo zangu nyingi tu kufua, wakati wa kuchukua wakanizidishia suti 5 zote hebu fikiria na ustaarabu nilionao nikakanyaga milonjo yangu kuwarudishia jamani mmenizidishia nguo. Upande wangu nilikuwa na nguo nyingi hivyo wakati wa kuchukua sikuziangalia vizuri pale pale japo hamna nguo iliyopotea.
  Sehemu waliopo pale ni nzuri kweli kibiashara na hawana mpinzani kwa pale badala ya kuchangamkia wateja wanabaki kuuza sura maana ni vibinti tu vyote vilikuwa,nahisi mpaka sasa. Labda uishie internet au wakufanyie massage kwenye hivyo vyumba vya internet!
   
 13. MpigaFilimbi

  MpigaFilimbi JF-Expert Member

  #13
  Mar 31, 2009
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,171
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 133
  Tusker Baridiiii!!!! ....inaonekana wewe ni very loyal customer, mpaka unatafuta namba ya mmiliki? kwa nini usiende kwa service provider mwingine kama wanakuzingua?
   
 14. Katikomile

  Katikomile JF-Expert Member

  #14
  Mar 31, 2009
  Joined: Jul 12, 2007
  Messages: 473
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Wanasema wanatoa na huduma za internet but whenever I go there wanasema huduma hakuna. Mh. Waziri mkuu mstaafu ana biashara gani ya siri pale? isijekuwa dry cleaner na internet service ni geresha tu! Au ndo ofisi mpya za DOWANS?
   
 15. Kinyambiss

  Kinyambiss JF-Expert Member

  #15
  Apr 17, 2009
  Joined: Dec 2, 2007
  Messages: 1,372
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mtu anaviwanda viwili holland mnamwambia mambo ya Alpha.. anawazuga yule..
   
 16. b

  babalynn Member

  #16
  Apr 17, 2009
  Joined: Jul 31, 2008
  Messages: 21
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mimi nilidhani labda kile chumba chenye internet cafe alipewa nyongeza hakilipii aisee, hamna biashara yoyote haki!
   
 17. Mama Mdogo

  Mama Mdogo JF-Expert Member

  #17
  Apr 17, 2009
  Joined: Nov 21, 2007
  Messages: 2,867
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  Duuuuu !!!!! Kusikia hivyo miguu yangu yote imelegea!!! Je viwanda hivi aliviangika katika fomu ya maadili ya viongozi????
   
 18. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #18
  Apr 17, 2009
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,690
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Wajameni,

  Sasa mumezidisha... hii peleka kwa mwenye biashara na kama inakukera nenda kwa service provider mwingine.
   
 19. n

  ndeanasia Member

  #19
  Apr 17, 2009
  Joined: Feb 7, 2009
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani mnafahamu kuwa kwa waafrika imejengeka dhana, ali muradi una mapesa mengi na unaweza kuiingiza kwenye biashara za kila aina basi wewe ni mjasiriamali! Whether unapata faida, unatoa huduma nzuri ama unakidhi haja ya soko.
  Matokeo yake watu wanafungua mashule wakati hawana hata idea ya education service delivery or standards, watu wanaanzisha hospitali vichochoroni hawana idea ya standards watu wanafungua night clubs kwenye sehemu za makazi ya watu . Ukiuliza nini? wana pesa!
  Do you wonder service delivery is so low? and our cities are the worst planned in SSA!

  Since we are on the topic of businesses opening up, I would like to draw your attention to a new outlet recently opened on Haile Selassie an extension of another one at Mikocheni one of the first malls to be etsablished in Dar. Hilo duka jamani linauza vitu aghali ajabu! sometimes three times higher! sasa najiuliza ni kwa sababu liko masaki au kwa sababu anatake advantage ya euphoria ya watu kusogezewa huduma karibu au ndio ile kawaida yetu ya kuibiwa wabongo? Halafu anadiriki hata kupokea foreign exchange for purchases. Yaani nchi inachezewa hii kama haina wenyewe!!

  Hebu TRA tembeleeni huko jamaa walipe kodi basi anagalao ebo!
   
 20. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #20
  Apr 17, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  naenda kesho......
   
Loading...