Mradi wa uendelezaji wa maeneo pembezoni mwa jiji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mradi wa uendelezaji wa maeneo pembezoni mwa jiji

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Mutensa, Apr 9, 2009.

 1. Mutensa

  Mutensa JF-Expert Member

  #1
  Apr 9, 2009
  Joined: Feb 20, 2009
  Messages: 426
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Wana JF,
  kumekuwa na tetesi kuwa kuna mpango wa kuendeleza maeneo ya pembezoni mwa jiji la dar es alaam kama vile Kibamba, Bunju, Pugu Kajiungeni na mengineyo. Kwa upande wa kibamba, tayari watu wamehamishwa na kulipwa fidia tangu mwaka jana, sijajua kwingineko. Kama kuna mtu anajua kinachoendelea tafadhari tufahamishe. Habari tulizosikia sikia kwa mbali ni kuwa wanajenga shopping malls, hospitali na shule etc, lakini mpaka sasa hatujui. Pia kama kuna mtu ana ramani inayoonesha miji hii imepangiliwa ifanane vipi, itakuwa vema kutufahamishe.
  Pia kuna chochote kinaendelea juu ya ring road kwa ajili ya kupunguza msongamano wa magari?

  :confused:
   
Loading...