Iko wapi fast ferries Lake Victoria? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Iko wapi fast ferries Lake Victoria?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Ndahani, Apr 8, 2009.

 1. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #1
  Apr 8, 2009
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,324
  Likes Received: 1,790
  Trophy Points: 280
  wadau naulizia kama kuna mtu anajua chochote kuhusu mradi unaoonekana kama umekufa wa boti ziendazo kasi Lake Victoria?Mbona kimya sana au wawekezaji wamebadili nia?
   
 2. Kandambilimbili

  Kandambilimbili R I P

  #2
  Apr 8, 2009
  Joined: Nov 11, 2008
  Messages: 782
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hakuna cha kubadili nia, zilienda zikawa mbovu wakasingizia kuwa waliuziwa mafuta mabovu, kilichofuata ni kufungiwa na SUMATRA kwa kuwa kuna viwango fulani hawakuwa navyo, thereafter it is the HISTORY, bora maghufuli aliwakatalia, wangeleta uharibifu/usumbufu kwa boat amabazo zingefanya kazi kwa miezi miwili na kuwekwa juu ya mawe.
   
 3. N

  Nangetwa Senior Member

  #3
  Apr 8, 2009
  Joined: Feb 9, 2009
  Messages: 134
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  zimekuwa zonaelea tu ziwani victoria zikisubiri labda kuwa boti za uvuvi
   
Loading...